kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Siyo vizuri jamani au kuna mtu kakukwazaNadhani ni muda nao umesema
Siyo vizuri jamani au kuna mtu kakukwazaNadhani ni muda nao umesema
Kweli wewe mwanaharamu😁😁😁🙌Akimjua yupo JF mtandao wa wajuaji, atapigwa chini.
Halafu ataleta mada ya wanaume wote ni Mbwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo pigo ni maarufu kama teke la nyau.Mguu kwenye chagga mguu kwenye net!!!
Acha akaliwe kale kamchezo kanataka utulivu 😁
🤣🤣🤣🤣🤣Chaaaaaa sasa unaamua kukaa kinyonge kisa nini jamani, watu wote hawa si ujitwalie hata mzabzab maisha yasonge.......
Kikao cha mwisho haukuwepo sio?? Unyonge ilikua mwisho 2024, ukiachwa asubuhi hakikisha jioni uko deep in love na mtoto wa mtu mwingine.
Kama hauna sema upigwe tafu, kuna watu wana wawili wawili utapunguziwa mmoja, Atoto tunamuomba mmoja aje kuokoa jahazi hapa
Just inbox me