Tutaonana tena 5/5/2026

Tutaonana tena 5/5/2026

Chaaaaaa sasa unaamua kukaa kinyonge kisa nini jamani, watu wote hawa si ujitwalie hata mzabzab maisha yasonge.......

Kikao cha mwisho haukuwepo sio?? Unyonge ilikua mwisho 2024, ukiachwa asubuhi hakikisha jioni uko deep in love na mtoto wa mtu mwingine.

Kama hauna sema upigwe tafu, kuna watu wana wawili wawili utapunguziwa mmoja, Atoto tunamuomba mmoja aje kuokoa jahazi hapa
Ninae wa kitaa mpenz,Wala sijawahi pwaya...sema huyu nilimchukulia serious sana
 
IMANI YA CHAMA
a)binadamu wote ni sawa
b)kila mtu anastahili heshima ya kutambua na kuthaminiwa utu wake
c)ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
Hakika
 
Ukiweza kukaa mwaka bila kuchungulia humu wewe hodari, labda utupe vifaa vyako vyote ubaki na kiswaswadu cha 20k, otherwise najua bado tupo pamoja.
 
Ukiweza kukaa mwaka bila kuchungulia humu wewe hodari, labda utupe vifaa vyako vyote ubaki na kiswaswadu cha 20k, otherwise najua bado tupo pamoja.
🤣🤣🤣Haya bhana
 
Back
Top Bottom