Tutalalamika mpaka lini?

Unajua kwamba Serikali haitawali kwa sababu tu ina polisi, mahakama, jeshi, fedha nk. Inatawala pia kwa sababu sisi wananchi tunaendelea kutambua na kuheshimu mamlaka yake na kushirikiana nayo.
Inatawala kwa sababu sisi wananchi tunaendelea kutambua na kuheshimu mamlaka yake na kushirikiana nayo !
Uhamasishaji wa uasi kwa wananchi wengine:hii inataka kufanana na lile zengwe la TL tutakinukisha
Soma kitu kinaitwa social contract nafikiri utaelewa vizuri.
asante mkuu πŸ™
 
Kiukweli kabisa, nimeguswa na bandiko hili, wewe ShesRise_1 ni mzalendo wa kweli wa nchi hii!,
maswali kama haya yako, niliwahi kuyauliza humu,
hatimaye nikafikia conclusion sisi Watanzania ni mazuzu!. https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/
Mzee Pasco
 
Uhamasishaji wa uasi kwa wananchi wengine:hii inataka kufanana na lile zengwe la TL tutakinukisha
Yes, bila strong rebellion hakuna kitachobadilika, tutaendelea hivi hivi mpaka 2070 huko. Haki siku zote huwa haiombwi, inadaiwa. Na kumdai mtu ambaye hataki kukupa haki yako inahitaji mbinu za ziada kama hizo.
 
Wna nini cha maana acha zako , unadanganywa eti uchumi huku wanashikilia uchumi nchi nzima hwafiki hata asilimia 10 , wengine wanagombania mpaka ugali..Ukiona nchi wanaandamana kwa vitu vidogo na kufanya uharibifu basi ni hopeless , kenya kuna mgomo wa madaktari , juzi kulikuwa na mgomo wa wafanyakazi wa airport ...


Hakuna kitakachobadilika hata siku moja ,nchi ifuate hali ya maisha ya wananchi sio kuongelea vitu vya kutoa kwenye vitabu.
 
Hapo uliposema Rais kuwa ndiye mwenyekiti wa chama chake , nakuunga mkono ..Hizi siasa zingefutwa, kama wana akili kweli wajiingize kwenye ugunduzi ..Nchi kubwa mnaenda kuwapa kikundi cha watu , kinachojiita chama cha siasa ..


Vyama vya siasa vinatufunga , wanadanganya watu kwamba siasa ni maisha wakati kiongozi sio lazima awe mwanasiasa ..Mwishoe , tunapata watawala sio viongozi .
 
Tutafanyaje na CCm hawataki mabadiliko.
Hawawezi kukubali mabadiliko yoyote, katiba iliyopo inamfanya mwenyekiti wa chama ambaye ni raisi wa nchi na mgombea uraisi kuteua wasimamizi wa uchaguzi, yaani timu A inateua refa wa kuchezesha mechi ya Timu A vs Timu B. Hakuna faith grounds.

Sasa kosoa uone!!
 
Umeongea vizuri na kwa mifano hai
Sasa tufanye nini ?
Wewe unadhani tufanyeje, ccm imeshikilia kila kitu kuanzia madaraka mpaka majeshi, kama wao watataka mabadiliko ya kikatiba, mabadiliko ya kimfumo, itakuwa rahisi. Ila hawataki na hawatakubali kubadilisha chochote maana wanajua any changes and they're out.

Mtu ambaye hataki make mezani muongee unadhani utatumia njia gani kuelewana nae, tell me!!
 
Sisi Watanzania ni mazuzu πŸ€”
Mzee Pascal Mayalla wewe umeliona jua kabla yangu
Unaweza kua sawa na mzazi wangu au zaidi?
Nikuulize kwa upole je kuna dawa ya uzuzu?
 
Asante kwa maoni
 
Yeah, bila strong rebellion hakuna kitachobadilika, tutaendelea hivi hivi mpaka 2070 huko. Haki siku zote huwa haiombwi, inadaiwa. Na kumdai mtu ambaye hataki kukupa haki yako inahitaji mbinu za ziada kama hizo.
Hii ndiyo kusema usiombe haki yako ila chukua haki yako
 
My friends, ladies and gentlemen,

binafsi nadhani wanachoweza kufanya hao waTanzania wachache sana wanaolalamika hasa kupitia mitandao ya kijamii ni kuungana kutukana, kuporomosha matusi na pengine kuwazomea watu wenye maoni tofauti na yao, wanaweza kuungana kushangilia vifo vya waja wa Allah wenye mtazamo tofauti na wao na sio zaidi ya hapo.

Malalamiko uliyoyaeleza hapo juu mengi yanaendelea kufanyiwa kazi na wawakilishi wa wananchi bungeni, lakini pia serikali sikivu ya CCM katika utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi, inayafanyia kazi masuala yote yanayozungumzwa mitandaoni ambayo kwakweli ni ya kawaida sana na yalielezwa hata kwenye kampeni za uchaguzi 2025.πŸ’
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…