Tutalalamika mpaka lini?

Nimeona hapo neno uchawa
Labda kama hufatilii mabandiko yangu mimi sina uchawa wa ki jinga kabisa

Ikipatikaka katiba mpya
Swala la muungano likaangaziwa

Mihimili yote ikafanya kazi kwa weredi bila kusomana

Malalamiko hayataisha kibinadamu ila yatapungua sana hata kwa asilimia 80

Hao Senegal na Kenya unaowatolea mifano huwezi kujifananisha nao kwa chochote

Kitu unachopaswa kujua saivi hata ukipika gizani tutawasha taa tutamulika
 
Mwaka 2000 baada ya uchaguzi kukatokea machafuko makubwa sana Zanzibar, wananchi waligomea matokeo ambayo dhahìri kabisa Maalim Seif aliporwa ushindi

Yale maandamano yalifanya vikosi kutoka Tanganyika kupelekwa kutuliza ghasia ambazo ama kwa hakika watu wengi sana walipotezwa.

Toka 2000 mpaka leo wazanzibari wamekuwa wapole sana, hata wakiporwa ushindi wanakaa kimya.

Fast forward 2025 October, mambo yamekuwa kama kule unguja. Hii maana yake nini, Tanzania kama haitakuwa na wanasiasa wenye utashi wa kukaa mezani na kuweka mambo sawa, tutaongozwa kidikteta miaka mingi ijayo, nasema kidiktrta kwa sababu katiba ya 1977 ambayo kimsingi imezeeka, haiendani na maisha ya sasa, inakumbatiwa na watawala kwa sababu tu inawapa favours nyingi kuendelea kutawala.

Raisi ambaye ni mwenyekiti wa chama hawezi kuwa ndio anateua mwenyekiti wa INEC, wakurungenzi wa kusimamia uchaguzi, watendaji wa serikali za kata/mitaa/vijiji halafu useme kuna uchaguzi, hakuna fair grounds hata kidogo.

What to do, watch!!
 
Tutafanyaje na CCm hawataki mabadiliko.
 
People make history and history make people. Don't stress, watu wachache tu ndio huamsha , huchochea au huleta mabadiliko katika nyakati zisizotarajiwa kabisa na kutengeneza historia yao na ya jamii zao.
 
Siku wenyenchi wakishiba watatuachia makombo.
 
Hili linawezekana vipi
Kwa mazingira yaliyopo na namna watu wamevunjika moyo kwa lile la mo 29
Unajua kwamba Serikali haitawali kwa sababu tu ina polisi, mahakama, jeshi, fedha nk. Inatawala pia kwa sababu sisi wananchi tunaendelea kutambua na kuheshimu mamlaka yake na kushirikiana nayo.

Kwa hiyo, kama serikali inakiuka kwa kiasi kikubwa masharti yaliyofanya mamlaka yake ikubalike, wananchi tunaweza kuanza kudai upya mamlaka yetu ya kisiasa kupitia umoja wa kiraia, NGO's, maandamano ya amani, kutoshirikiana na vitendo visivyo vya haki, habari huru na uhamasishaji wa uasi kwa wananchi wengine

Soma kitu kinaitwa social contract nafikiri utaelewa vizuri.
 
Umeongea vizuri na kwa mifano hai
Sasa tufanye nini ?
 
People make history and history make people. Don't stress, watu wachache tu ndio huamsha , huchochea au huleta mabadiliko katika nyakati zisizotarajiwa kabisa na kutengeneza historia yao na ya jamii zao.
Sawa mkuu muda utasema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…