Tutalalamika mpaka lini?

Hii cant be applied in our Tanzanian setting

Mkuu hakuna linaloshindikana duniani, I can tell you this thing can happen anytime and anywhere.

Zingatia chuki iliyopo Sasa kati ya

Wananchi dhidi ya watawala.

Wananchi dhidi ya vyombo vya ulinzi.

Utanganyika dhidi ya Uzanzibar

Ikitokea access ya silaha tuu, utaona badamu batakavyomwagika.

Binafsi sipendi na wala siombei tufike huko na ndio maana Bado Imani yangu nimewapa TEETH kwamba kuna jambo wanaweza kulifanya na nchi ikatulia.
 
Hili ni wazo zuri ila utelekezaji sio rahisi
Au wewe unadhani inawezekana kwa namna gani?
Ni kweli si rahisi kutekeleza, inahitaji miaka ya miaka kadhaa huku ukiinject pesa na kumonitor watu ulio wapenyeza.
Ikifanikiwa inayo matokeo ya uhakika sana.
 
Egypt chini ya Hosni Mubarak alikuwa na jeshi lenye nguvu na alius wengi, lakini wananchi walijitoa muhanga na Mubarak aliondoka. Na hapa ni kujitoa muhanga tu.
Wakujitoa muhanga ndio kipengele
 
Ni kweli si rahisi kutekeleza, inahitaji miaka ya miaka kadhaa huku ukiinject pesa na kumonitor watu ulio wapenyeza.
Ikifanikiwa inayo matokeo ya uhakika sana.
Sawa mkuu
Asante kwa maoni
Karibu tena kwenye mijadala mingine
 
Hapa ndipo palipo na mkwamo, na wenye madaraka hawawezi kuwa wajinga kiasi cha kuwaacha raia wajipatie silaha kirahisi rahisi
Mkuu tuishie hapa ila Congo, Burundi na Rwanda ni majirani zetu na hivyo vitu wanavyo vya kutosha tuu.

Mimi natamani CHADEMA waendelee kuwafungua watu akili, sitamani kabisa njia hii ya kumwaga damu.
 
Zamani Mungu alitujibu kwa wakati sisi kama Tanzania...ila kwa sasa dhambi zimezidi....ushoga unaachwa wazi na chukizo kubwa kwenye Taifa...nani atasema na sisi?? Viongozi wa dini wakiongea hawasikilizwi..
Suluhisho ni kuomba sana Mungu atende miujiza...
 
Hii nchi ukiongea utapotezwa au kuuwawa.
Ukijidai muongeaji sana unapewa kesi isiyo na dhamana ili unyamaze
Ukikosoa watawala wanaweza kutoa maamuzi juu yako bila kujali sheria

kilichobaki ni wananchi kutumia haki yao kuandamana kwa nguvu maana kuvumilia huku kukifika mwisho ndio mwanzo wa kuzaliwa vikundi vya magaidi kwenye nchi.
 
Hakuna mungu anakuja kukusaidia kwenye hili, kwani mmeanza kuomba leo mbona hajibu, hao watumishi wenyewe ndio wako meza moja na watawala mtafanya nini sasa. Bila wananchi wenyewe kuamua hamna kitu kitabadilika.
 
Nchi haitakombolewa kwa maombi pekee my dear
 
Si unakumbuka lakini last year kilichotokea October?
 
It will continue like this until the day you all finally come to your senses !!
 
Tatizo operation za teeth Huwa wanna balance equation kati ya wabaya na wema kwenye jamii!!

Jaribu kufikiri kama huko jikoni wakiandaa operation ondoa msoga,kizimkazi and co lazima ita cost maisha ya Mhaini gerezani,Tata wa katiba mpya alieanguka juzi n.k!!

Hii Huwa inauma sana,coz elimination process ya waovu huenda na wema ili ku balance mambo!!

Lakini wahusika hicho ndio kiapo chao!!
 
Mkuu tuishie hapa ila Congo, Burundi na Rwanda ni majirani zetu na hivyo vitu wanavyo vya kutosha tuu.
Rwanda hii hii ya Kagame au Rwanda ipi Mkuu.
Hizo Congo na Burundi ni failed states, una habari kama Burundi huwa inasadiwa kuitegemeza bajeti yake na Nchi yako ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…