tutakuja kuuana humu.

tutakuja kuuana humu.

Ha ha ha ha ha ha ha
Hivi mbona bangi tunavuta wote? Wee huwa unafanya nini hadi zinakutoa akili hivi??

Avu huwa unakosea tundu la kuvutia??
 
Asprin atamla nyama,
hebu mpelekeni kwa Young Master au Bishanga.
Hv mwanafunzi wangu Kaizer kafia wapi?
Au dozi ya gfsonwin kubwa?
Haya ya Ngoswe...!!!
Acha kunipakazia bana. Unantisha Shixi889 ujue. Erickb52 hebu mpe mgeni wasifu wangu asije akaingia mitini kabla ya kumnaniliyu

012.JPG
 
Last edited by a moderator:
hubby nini kinaendelea hapa??? sikusomi ujue??
Hamna kitu hun, kuna mgeni anaitwa Shixi889 anahitaji kukaguliwa. Njoo tusaidiane basi. Manake mtu mwenyewe mviiiiivu afu muoga.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Acha kunipakazia bana. Unantisha Shixi889 ujue. Erickb52 hebu mpe mgeni wasifu wangu asije akaingia mitini kabla ya kumnaniliyu

012.JPG

Babu utafia...,
AmKATRINA ulimshindwa mpaka kahamia jukwaa la Stress!!
Itajakuwa bidada hapa?
Hebu kavute ugoro na vimwali wako.
 
Last edited by a moderator:
Hakika nasema iko siku mtu atamwagiwa uji wa moto humu jamvini. We fikiria mtoto wa kiume umejikunja,ukajinyima ukawekeza ,halafu jitu kama Erickb52 , Nyani Ngabu au Asprin linakuja linaparamia tu kisa eti kauza gunia mbili za bange yake tarime,nyie subirini tu iko siku ntavaa mabomu nijitoe mhanga,nimechoka,nasema nimechoooooooooka na ukware wenu.
..kweli kabisa..mie huyu Erickb52 toka anipore Preta sina hamu naye urafiki nimeusitisha kwa muda..
 
Last edited by a moderator:
Shshiiiiiii !
Ongea taratiiibu, kuna ukaguzi unaendelea haitakiwi kelele!
We nyamaza tu kwanza shughuli ikiisha utaambiwa.
jg upo baba?? hajambo shosti wangu beibe nasty??? haya nijuze maana nilikwenda mtoni kuchota maji, kurudi ndio nasikia habari hizi za kusadikika, yalianza lini mambo haya??
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha ha
Hivi mbona bangi tunavuta wote? Wee huwa unafanya nini hadi zinakutoa akili hivi??

Avu huwa unakosea tundu la kuvutia??
Kongosho heshima yako asali ya ODM! kwema utokako??
 
Last edited by a moderator:
Babu utafia...,
AmKATRINA ulimshindwa mpaka kahamia jukwaa la Stress!!
Itajakuwa bidada hapa?
Hebu kavute ugoro na vimwali wako.
Bora unisaidie madam maana mie mgeni humu...!!!!
 
Last edited by a moderator:
Acha kunipakazia bana. Unantisha Shixi889 ujue. Erickb52 hebu mpe mgeni wasifu wangu asije akaingia mitini kabla ya kumnaniliyu

012.JPG
Hii picha inajitoshereza Asprin
Ila kwa kifupi
-Huwa hutongozi i.e wanajileta wenyewe
-Ni babu yetu
-Una wajukuu 39000
-Una wake 280
-Unakagua kwanza ndio mi nafuata
-Hubembelezi
-Huwajui wake zako wengine
-Umewakagua wooote ispokuwa Amyner (Mke wangu)
-Huna hela (Mbwembwe tu kwa wanawake)
 
Last edited by a moderator:
Hii picha inajitoshereza Asprin
Ila kwa kifupi
-Huwa hutongozi i.e wanajileta wenyewe
-Ni babu yetu
-Una wajukuu 39000
-Una wake 280
-Unakagua kwanza ndio mi nafuata
-Hubembelezi
-Huwajui wake zako wengine
-Umewakagua wooote ispokuwa Amyner (Mke wangu)
-Huna hela (Mbwembwe tu kwa wanawake)
lahaula!! hizo sifa ngachoka chuku!!! lolest! hakuna hubby hapa ni mabalaa tu, khaaaaaaa, Erickb52 mzima wewe??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom