tutakuja kuuana humu.

Kuwa na roho ngumu kama mimi, acha tabia za hit and run, kuwa na mmoja tu then stop commiting suicide. Kama vipi tuambie tuite wazee tuwasuluhishe. Kumbuka option ya mwisho kuna kuchinja kondoo na jamvi la wazee. Ova
 
Majuto ya nini? Unamjua Madame B? Ni shemejio kwa ruttashobolwa. Ukimmendea mtauana na nduguyo.

epic-sexy-fail-back-rolls.jpg

Mwe! huu utani wa bastola huu! mie simo kuamulha ugomvi,afterall niko kwenye dozi!
 
Last edited by a moderator:
Hakika nasema iko siku mtu atamwagiwa uji wa moto humu jamvini. We fikiria mtoto wa kiume umejikunja,ukajinyima ukawekeza ,halafu jitu kama Erickb52 , Nyani Ngabu au Asprin linakuja linaparamia tu kisa eti kauza gunia mbili za bange yake tarime,nyie subirini tu iko siku ntavaa mabomu nijitoe mhanga,nimechoka,nasema nimechoooooooooka na ukware wenu.
Bishanga
Kelele za chura hazimnyimi ng'ombe kunywa maji!
 
Last edited by a moderator:
Hakika nasema iko siku mtu atamwagiwa uji wa moto humu jamvini. We fikiria mtoto wa kiume umejikunja,ukajinyima ukawekeza ,halafu jitu kama Erickb52 , Nyani Ngabu au Asprin linakuja linaparamia tu kisa eti kauza gunia mbili za bange yake tarime,nyie subirini tu iko siku ntavaa mabomu nijitoe mhanga,nimechoka,nasema nimechoooooooooka na ukware wenu.

Jamani wahusika njooni mjibu tuhuma zenu mapema msisababishe bishanga matatizo buree wengine hatautaki kuwakosa jamani!!!!
 
Bishanga Bashaija nini tena.? Mbona mikwara asubuh asubuh..
Naona biasnahara yake ya Ndizi imedoda ameamua kuja kutumalizia hasira kwetu! data achana nae huyu mzee hana lolote
Kwanza mwambie akumbuke Mi ndio Mod wa Chit Chat sichelewi kumla ban kama nilivyomla Asprin oooooh
 
Last edited by a moderator:
Nakuhurumia! Jambazi unamtishia manati?
Usipeme maji ya bahari kwa kidole! Kama unahitaji nikuokoteshe makopo ukiwa umevaa nguo za kuogea, endelea!
Kaka Judgement nimeamini kweli we umepevuka na unastahili kupewa jukumu la kuongoza jamii....!
Wazo lako kwa Bishanga ni kweli kabisa mwache aendee kupima kina cha bahari kwa miguu aone moto wake!
Mwambie mi ndio b52 mwenyewe pia mwambie Asprin akiendelea kuniwekea kiwingu kwa The secretary nahamia kwa cacico na Yummy coz nimerudi kivingine sasa!
Sitaki mchezo meeeeeeen!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom