Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,333
- 96,553
kwa staili hii hata Habby anaweza kuuzwa........namuonea huruma saana
Hahaha unafanya nini huku jukwaa la wakubwa? Haya turudi zetu PM chapchap sana.
kwa staili hii hata Habby anaweza kuuzwa........namuonea huruma saana
What shuold I do to make it up for u in 2014........Niambie chap chap sana
No you are not, ulikuwa hujatazama kwa undani tu kitu ambacho wengi hatufanyi.
Hahahah, huyo ni mangi 101%.
What do u use money for?
thank you Kaunga na Heaven on Earth umenifumbua namna ya kufikiri tena yawezakana hata 2014 ningekosa furaha pia ,... hope now nitapata furaha
Hahahah should I tell you? You must be kidding.
You are not stupid bana. Pesa ndo mpango mzima. Tena Fyi, Pesa inachangia sana kuleta furaha. I love them money....
thank you Kaunga na Heaven on Earth umenifumbua namna ya kufikiri tena yawezakana hata 2014 ningekosa furaha pia ,... hope now nitapata furaha
To buy happines. Sometimes happines is for sale.
Unajua kwanini mambo yalienda mrama? ni kwaśababu umeweka imani yako kwa mungu badala ya Mungu. Yani badala umtumainie God we unamtumainia god.
Moral: Mpe Mungu heshima yake. Jina lake shurti lianze kwa herufi kubwa.
Ahsante kwa kunielewa.
Furaha haijawahi kununuliwa na haitanunuliwa kamweSOMETIMES not always.
SOMETIMES not always.
Basi siendelei, maana nina uhakika wewe wajua zaidi yangu kuwa kuna watu are ready to give all their wealthy ili wapate good health.
Kuna matajiri waliocommit suicide kwa kuhisi wamekosa au kupungukiwa upendo.
I am sure you are joking about mama claire???
ahsante kwa masahihisho, nimesha-edit kaka.
Kwanza ni vyema kabla ya yote mkatueleza furaha ni kitu gani ili kama watu wanajadili wajue wanajadili kitu gani
Kujadili jambo muhimu kama hili bila kufafanua ni kwa wigo gani na kwa maana ipi tunalijadili ni kutokuwa fair
Furaha ndio msingi wa maisha ya binadam
Kuna furaha na kuna raha
Hayo ni mambo mawili tofautisana
Je tunaijua tofauti?