Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
so am i stupidy ... oh ma God
You are not stupid bana. Pesa ndo mpango mzima. Tena Fyi, Pesa inachangia sana kuleta furaha. I love them money....
so am i stupidy ... oh ma God
so am i stupidy ... oh ma God
kuachia ushuzi ni dalilim kuwa mtu ni mzima. madaktari wanajua hiloWow, sikulijua hilo. Ntamwomba Mungu aendelee kunipa maujuzi ya kuandika maneno matamu ili mwakani badala ya kukufanya utabasamu tu, uwe unacheka kwa furaha. Angalizo: usicheke sana mpaka uachie ushuzi mbele ya wakwe zako. Ni hatari kwa afya yao.
Siongei na wewe mpaka mwaka huu uishe.
Nakukubali upo vizuri sana. unajua tunapendajibu haraka kabla hatujamuelewa mtu. mimi furaha kubwa kwangu ni kuwa na afya nzuri, kufanya kazi na kujali watu. hata kama sina pesa huwa si neno sana lakini kama nina watu behind Am always happy! umeniongezea pia kitu siku ya leo thanks!
Sema haki ya Mungu
aspirin, nakubaaliana na wewe kwa sehemu ila pesa ki ukweli ina pande mbili ya furaha na karaha. mie mzee wa falsafa nimejifunza hiloYou are not stupid bana. Pesa ndo mpango mzima. Tena Fyi, Pesa inachangia sana kuleta furaha. I love them money....
Hakyanani tena.
thanks 4 appreciationAfya kweli ni kitu cha msingi sana, ila wengi we take for granted mpaka tukienda kuwaona wagonjwa hospitali. Mungu aniongezee afya na moyo wa ibada 2014.
Asante rafiki kwa kukumbusha vitu muhimu.
aspirin, nakubaaliana na wewe kwa sehemu ila pesa ki ukweli ina pande mbili ya furaha na karaha. mie mzee wa falsafa nimejifunza hilo
poa ndio umeanza enhee haya tu
2012 haukuwa mwaka mzuri sana kwangu, kuna mambo mengi yalinichanganya sana na yaliniweka njia panda.
ila nilianza 2013 nikiwa na determination ya kupata furaha, i told myself that 'happiness depends upon myself'. It is not something ready made, i had to create it myself
first step ilikuwa kuacha kuwaza na kufikiria yale yaliyoninyima furaha 2012, na hata wale watu walioninyima furaha pia.
kufanya vitu vinavyonifurahisha na kunifanya nijisikie vizuri, loving myself, working hard to achieve my goals, kubwa zaidi ni kujifunza kusamehe na kusahau yaliyopita but at the same time kuwa makini na muangalifu na watu/ vitu vilivyonikosesha furaha huko nyuma.
I am looking forward to a happy 2014, with the help of god, naamini 2014 utakuwa mwaka mzuri kwetu sote, namuomba mungu atujaalie afya njema na wote tuwe na furaha
Aisee give me money and I will give you my wife.
Pesa sabuni ya roho mzee wa falsafa.

Nice to hea this. maana imani is so powerful. kwa imani unaweza uambia mlima uondoke nao ukaondoka (maandiko matakatifu not word by word). nawe kwa imani basi itakuwa hivo. na ubarikiwe
Mpaka utakaporekebisha tabia. tena fyi, we ni sehemu ya walioninyima furaha mwaka huu.
Aisee give me money and I will give you my wife.
Pesa sabuni ya roho mzee wa falsafa.
acha porojo we! ukisikia kuna mtu yuko nae mahali huku ukipata kale kenye uchungu mahali chenji hujarudishiwa si utakurupuka na chenji utaishau?
Atachagua box la pesa huyo ndo furaha yakeMiss chagga, ukiwekewa box 2 moja ina $ bil 1 na box lingine lina furaha, utachagua lipi?