miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,969
What will you do with that $$$$? Wakati unatafakari, ujiulize hicho utakachofanya ili iweje? I mean end result ni nini?
I am sure itakuwa ili ufurahi na kuwapa furaha wapendwa wako. So why not take the happiness box and save your self all the troubles of seeking for happiness?
Point yangu pesa sio kila kitu ni njia tu ya kukuwezesha kupata furaha, lkn yaweza kukukosesha furaha pia, maana badala ya pesa kukutumikia wewe utakuwa unaitumikia kiasi kwamba waweza usilale kwa kuilinda pesa.
your right ma dear ... thank you i will choose happeness box