Tutafakari:..........furaha, na namna ya kuipata....

Miss chagga, ukiwekewa box 2 moja ina $ bil 1 na box lingine lina furaha, utachagua lipi?

$bil1 ndo nitakalochukua..... hela inaninyima usingizi.... lakini me nitajiri sana swma mda ujafika wa kuzishika nyingi
 
Furaha ninayo

Nimeipata bila kumkanyaga mtu

Ila kuna jambo moja nikilipata litaniongezea Furaha, ila lipo nje ya uwezo wangu. MUNGU pekee anaweza kulifanikisha.......

I am so very happy for you really; hasa kwa vile hujamuumiza mtu in persue of ur happiness.

Usijali Mungu wetu ni mwaminifu, ongeza IMANI tu atakufanikisha katika MUDA wake.

Honestly mimi nimepitia ups n downs lkn l thank God na sidhani kama nimemkanyaga mtu intentionally, ila naomba msamaha niliowapunguzia au kuwaondolea furaha kwa mwaka huu.
 
Kufanikiwa kulipa kisasi au kumuona adui yako akiporomoka kumekupa furaha; naamini italast as long as yuko down. Vipi siku Mungu akimuinua? Source ya furaha yako si itatoweka?

yes namshukuru mungu kidogo sasa nina furaha hata kama haitodumu!
 
namshukuru sana Mungu mwaka 2013 nimepata furaha kufanikisha jambo lilokuwa linanipa mawazo mengi japokuwa binadamu unataka kuwa na furaha zaidi pale yote uliyopanga yafanikiwe na kukufurahisha zaidi naamini mwaka 2014 utaendeleza furaha hata pale nilipohitaji furaha zaidi ipatikane kwa neema na rehema za Mungu
 
Nimekuwa na furaha tangu niamue kuwa nitakuwa na furaha in my life...I CHOOSE TO B HAPPY ALL TH TYM,naepusha ugomvi,nafanya nnachotaka kufanya,i treat myself nicely always -less stress,othr pipo as well,i speak good things about myself and others,I PRAY A LOT OFTEN,changamoto zipo nyingi sana but its worth it,i feel my life has changed,tangu 2012 ilipoanza nliandika malengo ya mwaka ,hapiness being th first kwa kiasi kikubwa ninayo,imeendelea hvo till now na all my life i believe itakuwa hivo...
Am happy to know that hapiness is from within ts js you to allow urself, ukiniuliza,kiukwel am 90% and above happy,i dont have it all in life,but working hard to get what i want
 
$bil1 ndo nitakalochukua..... hela inaninyima usingizi.... lakini me nitajiri sana swma mda ujafika wa kuzishika nyingi

What will you do with that $$$$? Wakati unatafakari, ujiulize hicho utakachofanya ili iweje? I mean end result ni nini?
I am sure itakuwa ili ufurahi na kuwapa furaha wapendwa wako. So why not take the happiness box and save your self all the troubles of seeking for happiness?
Point yangu pesa sio kila kitu ni njia tu ya kukuwezesha kupata furaha, lkn yaweza kukukosesha furaha pia, maana badala ya pesa kukutumikia wewe utakuwa unaitumikia kiasi kwamba waweza usilale kwa kuilinda pesa.
 
I see 2014 as a HAPPIER YEAR than previous ones,with many of my works and plans succeeding...
 
Nimekuwa na furaha tangu niamue kuwa nitakuwa na furaha in my life...I CHOOSE TO B HAPPY ALL TH TYM,naepusha ugomvi,nafanya nnachotaka kufanya,i treat myself nicely always -less stress,othr pipo as well,i speak good things about myself and others,I PRAY A LOT OFTEN,changamoto zipo nyingi sana but its worth it,i feel my life has changed,tangu 2012 ilipoanza nliandika malengo ya mwaka ,hapiness being th first kwa kiasi kikubwa ninayo,imeendelea hvo till now na all my life i believe itakuwa hivo...
Am happy to know that hapiness is from within ts js you to allow urself, ukiniuliza,kiukwel am 90% and above happy,i dont have it all in life,but working hard to get what i want

Aisee, nimejifunza kitu kutoka kwenye mchango wako. Asante na Mungu azidi kukuongezea furaha idumuyo na iambukizayo kwa wale wanaokuzunguka.
 
Mwaka 2013 ulikuwa mbaya kwangu kwakweli ,nilimpoteza mume wangu mpenzi ...May his soul Rest In Peace .Amin

Oh,jamani pole dada....Mungu akuangalie na akupunguzie maumivu,..wish u a happy 2014 and more years to come
 
Aisee, nimejifunza kitu kutoka kwenye mchango wako. Asante na Mungu azidi kukuongezea furaha idumuyo na iambukizayo kwa wale wanaokuzunguka.

Aminaaa....am glad kama umepata kitu,js choose to be happy and always do what makes you so,u wl ENJOY life more
 
Mwaka 2013 ulikuwa mbaya kwangu kwakweli ,nilimpoteza mume wangu mpenzi ...May his soul Rest In Peace .Amin

Pole mpenzi kwa upweke. Naamini atakuwa kwenye makazi mapya na mazuri ambayo hakuna stress, majanga, maudhi, magonjwa na mateso. Kwa sisi wakatoliki tunaamini umepata mwombezi huko mvinguni.

Hawezi rudi, lakini namuomba Mungu aliyekupa huyo mumeo mpenzi, akupe jinsi ya kuishi ili uwe na amani n'a furaha katika yeye.
 
namshukuru sana Mungu mwaka 2013 nimepata furaha kufanikisha jambo lilokuwa linanipa mawazo mengi japokuwa binadamu unataka kuwa na furaha zaidi pale yote uliyopanga yafanikiwe na kukufurahisha zaidi naamini mwaka 2014 utaendeleza furaha hata pale nilipohitaji furaha zaidi ipatikane kwa neema na rehema za Mungu

Hongera, na Tumshukuru Mungu kwa 2013 ili asitusahau 2014.
 
Mwaka 2013 ulikuwa mbaya kwangu kwakweli ,nilimpoteza mume wangu mpenzi ...May his soul Rest In Peace .Amin
POLE SANA Mjane.
Amen. unge nipa nafasi ya kukushauri ninge kuomba ubadili hili jina lako nahisi linazidi kukuongezea upweke na machungu.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga, Hoja yako ni ya kifalsafa sana. mtu mwenye haraka anaweza kujibu hivihivi tu kumbe inataka muda kufikiri na pengine ku-consult sources. Kwazna kabisa ni kujiuliza furaha ni nini. ni hali ipi mtu atakuwa nayo ili tuseme hiyo ni furaha? na je, furaha kwa X inaweza kuwa furaha kwa Y? Je, furaha ina muda yaaani inaweza kudumu muda gani? je furaha inaweza kuwa pia ni kero kama msemo wa kiingereza unavosema too much of every thing is harmful? kwa hiyo kama utasema pesa mtu mwingine hajawahi kuona katika maisha yake kama pesa ni tatizo. wengine wana afya mbaya nao wangeona kuwa uzima ni furaha kwao. Kwangu mimi naona kuwa kama utaweza kutimiza maagizo ya Mungu ya kufanya kazi na kula kwa jasho lako angalau utapata furaha. Means if you fit in the environment then you are happy!
 
POLE SANA Mjane.
Amen. unge nipa nafasi ya kukushauri ninge kuomba ubadili hili jina lako nahisi linazidi kukuongezea upweke na machungu.

Hata nami naona Mjane abadili jina. Najua inauma kupoteza mume, lkn anaweza kujidhuru zaidi kwa msongo kwa kujiwekea hiyo reminder. "Kusononeka zaidi ni kufuru", wakubwa waliniambia.
 
Last edited by a moderator:
=====you are not correct, Sorry to say that. Shida yako wala sio pesa kama unavyofikiri. Shida ni people around your heart and brain nothing else. So unlucky that its so difficult to get them off your heart and brain, but its possible.

======shida yake sio hela. Ajitafakari vema!
okey but some people told me ama ugly not lovely any way nahisi pesa can be ma bestfriend ever in ma life
 
2013 na uishe mapema. Labda 2014 ntapata furaha.

2013 ilikuwa full majanga kwa odm. hata furaha kiduchu nloipata imefunikwa na majanga lukuki yaliyonikumba.

Ila namshukuru Mungu, kwa neema zake, nimeyashinda majaribu.

RIP 2013, Mungu anisaidie niuvuke salama mie pamoja na familia yangu, wazazi wangu, wapendwa wangu, ndugu, jamaa, marafiki na hata maadui zangu.
 
Back
Top Bottom