Tutafakari:..........furaha, na namna ya kuipata....

Usisahau kuna wengine pia wanataka wealth ili wapate good health. Kuna maskini pia wamecommit suicide kwa kuwa tu wanashindwa kuzihudumia familia zao kwa sababu ya umaskini.

Kwa kifupi ni heri ufie kwe BMW kuliko kwenye bajaji. Heri ukimbizwe hospitali kwa ambulance badala ya kwa baiskeli ya mwenyekiti wa kijiji.

Am not joking, give me money and I will show and share with you my happiness

Na vipi ukipewa happiness usipewe pesa?
 
Duniani humu Hamna furaha ya kweli but through worship & praise our God as well as meditation His words we get out of sorrow & pain which we experience in our daily life.

Refer one song. (Haym) It is Well

Vipi kuhusu pesa? Maana hata hao gospel singers wengi siku hizi pesa wameiweka mbele zaidi.
 
Na vipi ukipewa happiness usipewe pesa?

Sidhani kama italast long. Ntabaki na kisirani cha kuwaonea watu wivu tu. unaweza kuwa na furaha ukiwa na wivu?

Happiness inarest in peace pale tatizo litakapotokea afu nashindwa kulisolve kwa kuwa sina pesa. Pesa ndo mwisho wa matatizo.
 
Happiness does not come from doing
easy work but from the afterglow of
satisfaction that comes after the
achievement of a difficult task that
demanded our best.
Theodore Isaac Rubin
 
Sidhani kama italast long. Ntabaki na kisirani cha kuwaonea watu wivu tu. unaweza kuwa na furaha ukiwa na wivu?

Happiness inarest in peace pale tatizo litakapotokea afu nashindwa kulisolve kwa kuwa sina pesa. Pesa ndo mwisho wa matatizo.

Hahahah, sidhani kama matatizo yote yanatatuliwa na pesa. Na pesa imekuwa chanzo cha matatizo kwa wengi.
Kuna 101 women wana curse the day waume zao walipopata pesa (utajiri)
Kuna 101 men wanalaani pesa ambazo zimesababisha wawe hoi kutandani au kwa matumizi mabaya au harakati za kuzitafuta.
So my dear friend pesa ni muhimu lakini sio kila kitu.
 
Hahahah, sidhani kama matatizo yote yanatatuliwa na pesa. Na pesa imekuwa chanzo cha matatizo kwa wengi.
Kuna 101 women wana curse the day waume zao walipopata pesa (utajiri)
Kuna 101 men wanalaani pesa ambazo zimesababisha wawe hoi kutandani au kwa matumizi mabaya au harakati za kuzitafuta.
So my dear friend pesa ni muhimu lakini sio kila kitu.

kuwa na pesa simaanishi kuwa tajiri. utajiri ni matatizo mengine tu. Pesa nayosemea mimi ni ile ya wastani. ambayo inakuwezesha kufanya ukitakacho. Matibabu kwenye hospitali nzuri, usafiri wa uhakika kwako na kwa familia, nyumba bora, ada za watoto kwa shule uzitakazo, burudani, kusocialize, akiba ya kutosha nk nk nk.
 
Ni tafakuri tu na sio debate, ndio maana sikuona sababu ya kudefine furaha ili watu wapate uhuru wa kutafakari maisha yao, naimani wengi wamefanya hivyo hata bila kuweka humu.

Lakini bado haijakatazwa kuweka mchango wako ambao umekaa vizuri zaidi with définitions n all that.
So karibu kuelezea maana na tofauti za furaha na raha.

Kuna watu hawajui maana ya furaha,watachangiaje?
Kuna wartu wanajua furaha kwa maana ambayo sio sahihi,je watachangiaje?
Unawezaje kuweka mahali pamoja watu wanaoamini unaweza kunya bila kula na wanaoamini huwezi kunya bila kula kwenye jambo moja?
 
Furaha haitoki popote pale bali from your inward world. Ukiona mtu anafuraha jua hicho uanchokiona nu matokeo ya kilichopo ndani kwake. Utashangaa mke au mume anaeza asikupe raha kama wewe mwenyewe huna raha. Postive atracts positives.
 
Wanajamvi,
Kuelekea mwishoni kabisa mwa 2013, naomba tutafakari juu ya hii kitu ambayo kila mmoja wetu anachakarika katika kuitafuta; FURAHA.

Je umeipata au umeikaribia?
Ilidumu kwa muda gani?
Ni muda gani in % umekuwa na furaha?

Ulifanya nini ili kuipata hiyo furaha?
Ulimkanyaga mtu kichwani ili uipate hiyo furaha?
Nini kilichokuondolea au kukupunguzia furaha?

Twenty forteen, utafanya nini ili upate furaha zaidi au furaha idumu zaidi.

Nawatakia mwaka mpya 2014 wenye furaha zaidi na itakayolast longer.
Loads of love
Kaunga

Furaha sio final destination

furaha huwa inakuja na kuondoka
as long as uo hai kila unachokifanya kinaweza kuleta
au kuongeza au kuondoa au kupunguza furaha katika maisha yako....
 
Back
Top Bottom