Si kweli...hakuna mwanaume anayetaka kuoa kituko afu ndo aanze kuhangaika kutafuta wasichana wazuri...au we mkewako ni kituko? Nakuonea huruma sana..
Mi mwenyewe nimepigwa na butwaa... huyu ndugu Riwa nadhani anastahili kupata ushauri nasaha.
DuppyConqueror...usiwe unadandia treni kwa mbele, fuatilia kwanza thread ndio u'comment. Nadhani wewe ndio unahitaji ushauri nasaha katika hili...I will give you a free counseling session if you want one!Sidhani kama ni Riwa ndiye aliyeita mkewe kituko!
DuppyConqueror...usiwe unadandia treni kwa mbele, fuatilia kwanza thread ndio u'comment. Nadhani wewe ndio unahitaji ushauri nasaha katika hili...I will give you a free counseling session if you want one!
Mi mwenyewe nimepigwa na butwaa... huyu ndugu Riwa nadhani anastahili kupata ushauri nasaha.
Umesha kula vidonge? Akili yako bila vidonge haifanyi kazi!
kibo10 ndio anaujua.....mi nasikia mipasho kwa mbali tu
Naona umechomekwa bisu la moto mgongoni afu likawa twisted....i know its painful
t.ako kubwa kama gorofa halitakusaidia kwenye ndoa
Sawa sista nimekuelewa....tunaanza lini hiyo session?
Kweli...af napata shida kusikia mtu unamuoa mwenzio huku unamuita kituko
daamn mtu anakuoa kwasababu ameona kituko wewe unaweza a,b,c,d its simply annoying