utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
mbona tunajitambua sema tu nyie macho juu
Umeolewa wife material?
mbona tunajitambua sema tu nyie macho juu
Mkuu ukiona umeoa kiumbe unachokiona kituko ujue tu huo ndio urefu wa kamba yako
Kimsingi sio kila mwanaume ameoa/ataoa kituko kama wewe
Na ndio maana vipo vidume mjini hapa wanamiliki kina cleopatra wa bongo kama haitoshi wanakula tu maisha ya ndoani kiulaiiiiiini
Hamna ukweli wowote...hawa ndio wanaoa hivyo 'vituko' wanaviacha nyumbani vifanye hizo kazi alizotaja hapo vitafanya...halafu anachepuka na hao wenye sura nzuri na makalio mwa mwa mwaa kama mshumaa! Uongo mtupu!
siku hizi hadi kwenye boxer
bora mie mshamba nitaenda kuanzisha shamba ila wewe ni zaidi ya mburula kabisaaaa sura ka bamiaAliyekushikia panga uchangie hapa nani?
Kama uliiona fb then ulifanya nini?
Huo ni ushamba unakusumbua ndio maana umeandika upuuzi
Closed!
Hamna ukweli wowote...hawa ndio wanaoa hivyo 'vituko' wanaviacha nyumbani vifanye hizo kazi alizotaja hapo vitafanya...halafu anachepuka na hao wenye sura nzuri na makalio mwa mwa mwaa kama mshumaa! Uongo mtupu!
naona verse za taarabu zimekamilika bado beats tu mzigo uingie sokoni
nipo mitaa ya mwenge tuNatamani nikuone nijue unaangukia kipande ipi..!
vp ukumbi gani mpya umefunguliwa jijini??
aah wapi????kawaida mbona,hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo
Hamna ukweli wowote...hawa ndio wanaoa hivyo 'vituko' wanaviacha nyumbani vifanye hizo kazi alizotaja hapo vitafanya...halafu anachepuka na hao wenye sura nzuri na makalio mwa mwa mwaa kama mshumaa! Uongo mtupu!
Unamuitaje mke wako kituko?
Mwaka gani huo mlikuwa gizani?
Mbona tumekula ubwabwa mwingine mwezi uliopita tu. We kama huwapendi ni juu yako. Yupo mwingine hapa hajui hata kutandika kitanda ila klabu anajua na anakaribia kuolewa.
Wengine bado wanajipodoa muda huu...ngoja waje....jiandae kukwepa mawe watakayokurushia...!