Tutaendelea KUOA vituko kwa sababu vinaakili

Tutaendelea KUOA vituko kwa sababu vinaakili

Eiyer

naona verse za taarabu zimekamilika bado beats tu mzigo uingie sokoni
 
kama unashape nenda twanga pepeta...akawaburudishe kwa kumyengu jukwaani!
 
kama ipo ipo tu....................

kuna magube gube yalioshindikana na mitume lakin yameolewa
 
kama ipo ipo tu....................

kuna magube gube yalioshindikana na mitume lakin yameolewa

Jitoe ufahamu unisubiri uone kama nitakuchukua
Nakuacha uchapwe nao kwanza mwishowe uzalishwe
Tufunge kitabu rasmi fainal uzeeni
 
habari izi rudisha fb tumesha zipata

Aliyekushikia panga uchangie hapa nani?
Kama uliiona fb then ulifanya nini?
Huo ni ushamba unakusumbua ndio maana umeandika upuuzi
Closed!
 
Jitoe ufahamu unisubiri uone kama nitakuchukua
Nakuacha uchapwe nao kwanza mwishowe uzalishwe
Tufunge kitabu rasmi fainal uzeeni

mi nilishachukuliwa siku nyingi
so the matter of fact IS huwezi kunichukua........
 
Mkuu ukiona umeoa kiumbe unachokiona kituko ujue tu huo ndio urefu wa kamba yako

Kimsingi sio kila mwanaume ameoa/ataoa kituko kama wewe

Na ndio maana vipo vidume mjini hapa wanamiliki kina cleopatra wa bongo kama haitoshi wanakula tu maisha ya ndoani kiulaiiiiiini
 
Wengine bado wanajipodoa muda huu...ngoja waje....jiandae kukwepa mawe watakayokurushia...!
 
Back
Top Bottom