Tutaendelea KUOA vituko kwa sababu vinaakili

Tutaendelea KUOA vituko kwa sababu vinaakili

Muhudumu peleka kinywaji kwa mtoa mada... kibo 10
 
Last edited by a moderator:
Sista!? Its obvious unanitafutia ban wewe...ntaipata tu ukiendelea...

Kausha dogo....si unaelewa wengiwetu JF ni sehemu ya kupunguzia stress...na kama unavyoelewa Law of Stress Management inavyosema..." Stress can neither be created nor destroyed.....but can be transfered from one person to another"...
 
mleta mada kaoa kituko, sasa anajaribu kujifariji kwa hizo sababu.

pole kwa chaguo lako, sio wanaume wote wenye raha na maendeleo kwenye ndoa wameoa vituko km unavyoviita.
 
Kungekuwa na wanaume wengi wenye mawazo kama haya nadhani hata hao wanawake wenye tabia chafu wangejirekebisha. Kaka yangu alizaa na mdada mmoja she was veeery beautiful na of course alikuwa a modern girl ila ajabu alimuacha. Ameoa mwanamke wa kawaida kabisa na hafanani na yule wa kwanza. Wapo watu waliomcheka na wengine kumshauri asimuoe kwani hawaendani ila msimamo wake haukubadilika. Kuna siku alinipa siri ya yeye kumuoa yule dada. Alisema MKE SIO SURA WALA UMBO bali ni tabia!
 
Sana aisee....anakuoa ili akufanye kitega uchumi.. Mimi kuna mtu aliwahi kuniambia yan na kuoa wewe wa kabila x lazima nijenge ghorofa....tulikuwa ndo tunaanza mahusiano nilikimbia sikugeuka nyuma..... Mtu akikuoa ili anufaike kiuchumi ikatokea asipate mafanikio aliyotarajia utajuta na hiyo ndoa...

haaa ha chagga lol
 
ahuuuuu maneno tuu haya maana mimi sina uhakika kama ni wife material na nnaolewa mwezi ujao mchana kweupeeee tena kanisaniii na kishepu changu wala sina wasiwasi. Mwanamke pambo bwana huwezi oa kitu kama kabati la fundi seremala aliyetoroka veta halafu uje ujifariji hapa loh, na tabia mbaya hata hao vituko nao pia wamo humo unakuta mtu hana mvuto kuanzia sura hadi tabia. TEAM VISHEPU MTUACHEeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom