Tukiacha kiingereza tutaongea lugha gani?
Kwa karne hii ya utandawazi kama hujui Kiingereza chimba shimo jifukie, maana your negligible in this world. Alie juu ya mti mfutate huko huko. Wewe subiri chini tu, utakuwa unakota maganda watu wanakula maembe dodo juu ya mti.
Waingereza lazima watakuwa wanajivuna sana! Na hata wakituona sisi duni wanastahili kabisa kutuona hivyo.
Rugha ndio nguvu ya elimu nchi Zetu za Africa bado hazija pata uhuru wa serekali kujiendesha zenyewe ndiomana Rugha Zetu zimegandamizwa Rugha ni utawala na ki ukweli bado tuna tawaliwa na nchi za ulaya na marekani(wazungu)kuna rugha ya Afrikanse south Africa ina tumika kwa sector zote na elimu yoyote ya juu kwa sababu
Niya wazungu.Afrikanse ina mchanganiko wa English,France,PortUguese,Dutch,.kikubwa ni serekali zetu ziwe huru ki uchumi na sheria ndio tutafanikiwa kutumiya rugha zetu Za Africa kwa elimu ya juu
Usemayo si kweli kabisaa. Kwa mfano kuna mataifa kibao ya ulaya ambayo hayatumii kiingereza kama lugha ya kwanza na bado yameendelea. Wadenish, wafaransa, wajerumani, wafinish, waspenish n.k. Vile vile ukiangalia wachina, wajapan hata wakorea kiingereza chao ni taabu sana lakini wameendelea. Hii kasumba ya kuabudu kiingereza ni kwa sababu tulitawaliwa na hao kwa hiyo bado haijatutoka. Sawa, ufahamu wa kiingereza ni vizuri lakini kusema eti kama hujui kiingereza chimba shimo jifukie, hapo unavuka mipaka!Kwa karne hii ya utandawazi kama hujui Kiingereza chimba shimo jifukie, maana your negligible in this world. Alie juu ya mti mfutate huko huko. Wewe subiri chini tu, utakuwa unakota maganda watu wanakula maembe dodo juu ya mti.
Aisee m'monga ingawa nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja, hebu niruhusu kusahihisha maneno flani katika mchango wako:Rugha ndio nguvu ya elimu nchi Zetu za Africa bado hazija pata uhuru wa serekali kujiendesha zenyewe ndiomana Rugha Zetu zimegandamizwa Rugha ni utawala na ki ukweli bado tuna tawaliwa na nchi za ulaya na marekani(wazungu)kuna rugha ya Afrikanse south Africa ina tumika kwa sector zote na elimu yoyote ya juu kwa sababu
Niya wazungu.Afrikanse ina mchanganiko wa English,France,PortUguese,Dutch,.kikubwa ni serekali zetu ziwe huru ki uchumi na sheria ndio tutafanikiwa kutumiya rugha zetu Za Africa kwa elimu ya juu
Ni uchaguzi wako ndugu muuliza swali.
Una hiari kukataa kutumia hiyo lugha na kung'ang'ana na kiswahili.
Hebu komaa na kiswahili tu halafu uje hapa utupe matokeo.