Pole sana,
nimeimbaje sasa na yeye! kanikumbusha mbali sana!dah,ruth kaupatia kweli huu wimbo! "every time u need a friend"
kwani ni wa nchi gani? ni mweusi kama msudanmshono wa gaun lake umenikosha!
nimeimbaje sasa na yeye! kanikumbusha mbali sana!
nimekuuliza ni wa nchi gani??nimempenda sana kanivutia,bt sharon cjapenda uimbaji wake hajapatia vocal. . thou ana saut ya pili nzuri
huyo anayeimba kwaito ni wa wapi@charminglady, watoto wangu wameacha dinner wanacheza kwaito, dad wao kanunajeeeeee?
dah,ruth kaupatia kweli huu wimbo! "every time u need a friend"