Tusker Project Fame 6

huyu janet wa kenya naona anaimba wimbo wa UB 40 unamzidi umri, anapwaya
 
Janet wimbo umemzid haswaa.. Huyu kaka wa Burund huwa anajitahid au sio DEMA
 
Sorry its DEMBA forgv m nilishapia ua id
 
Dah.... Huyu anayeimba kavaa kofia na miwani nimemkubali!!!
 
Aneimba sasa hv alievaa miwan ni wa Rwanda.. Aliemba kabla yk ni wa Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…