mwallu mi naona kama Hisia anajitahidi sijui atafika mbali?watanzania tuna kazi
sidhani kama tutaingia iyo top 5
vocally hatuko vizuri kabisa
wenye vipaji vyenu muwe mnaenda basi kwenye audition sio kuimbia bafuni tu na vyumbani lo
nashindwa kusapoti vya nyumbani maana waganda wanaimba hawa duuu
basi kesho usichelewe itaanza saa 1:30 jioni EATV.
mwallu mi naona kama Hisia anajitahidi sijui atafika mbali?
haya haya wadau TPF is on air now.
cc Preta Chocs Heaven on earth charmingladylady The Dude na wengineo
kwa Tanzania inaoneshwa EATV jumamos 2:00 usiku (live),jumapili 1:30 usiku (live)naombeni ratiba kamili ya hii kitu na channel inayorusha live na inayorusha marudio na muda pia. msaada tafadhar.
Naona kipindi kinaanza tunawaombea wabongo waliobakia wakomaekomae kimagumashi hivyo hivyo wafiki hata mabele ya safari kidogo kabla hawajawa evicted
uwii aibu yetu yaani tangu imeanza hatujawahi chukua
haya haya wadau TPF is on air now.
cc Preta Chocs Heaven on earth charmingladylady The Dude na wengineo
Wanatubania.....Peter Msechu deserved it,even Davis knows that..
angel leo yupo poa kidogohaya tena angel from Tanzania