Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

Hahaaa Demba umenifurahishaa eti unapiga domo. M nalala pia. Tchao ppl and gud nyt
 
watanzania kipaji chetu ni ngono na umbea hayo mengine tunataka kujitia aibu tu
 
Demba,charminglady and others mko wapi
 
Karibu mwallu.. Walio kwenye probation nani unaona hakustahili kuwepo humo??
 
Karibu mwallu.. Walio kwenye probation nani unaona hakustahili kuwepo humo??

best tatizo sauti unayotumia kutuita ni ndogo hatusikii kabisa. ukitaka kutuita kwa sauti anza na alama @ halafu andika username ya unaetaka kumuita lakini usiache space baada ya alama hiyo, hapo tutakusikia na tutakuja bila shaka
 
Nipo DEMBA jmn nilijisahau i was watching movie
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnajua tofauti na miaka ya nyuma, mwaka huu kura ni za block kama big brother?
 
Nielimishe za block kiaje dude
 
Last edited by a moderator:
ila,mwaka huu TPF haina msisimko kama zilizopita,esp ya kina ruth na alpha..zilikua na msisimko sana mpaka raha
ya mwaka huu imepoa kwa kweli
 
Nielimishe za block kiaje dude

atug
Something exclusive about TPF 6 is
that, unlike the previous series, this
time around, besides seeing group
competition, even the voting will be
rated per country and not individual
votes.
While speaking at the launch of TPF 6
at Club Venom, Harry Mwanje, Tusker
Lager Brand Manager said,
“One key change is the voting, which
now will be block votes per country as
compared to individual numbers of
votes received from fans across East
Africa. This we believe will bring
greater participation from all
participating countries.”
 
Last edited by a moderator:
Thanx dude i didn't knew that.. Kwahili ma dia Kenya wanaweza tushinda in voting.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom