Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

Hami kasema hajaimba poa na
juliana.. Ian kasema jeniffer kaimprove in dressing
DEMBA

kama ndio hivo huyo jennifer anaweza kuaga mashindano leo.
 
Last edited by a moderator:
nimeyamiss mauno na midundo kama ya kina msechu na alpha enzi zile..hawa mbona hawavunjiiiii
 
M huyu kijana wa south sudan i just like him
 
haha swaga za huyu Msudani mie hoi.........

mbona wadawa wanamshangilia sana lol...........

anacheza vizuri lol
 
DEMBA kijana wa sudan ameshangiliwa huyo na audianc
 
Lets wait and c labda mauno yatakuja mwallu
 
Last edited by a moderator:
Undercover mbona wapo off beat mhh wanamwangusha Juliana
 
Hawa vijana on ma side km wanaogopa vilee
 
Back
Top Bottom