Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
461
Update 26th October 2013: 1st eviction night, Uganda's undercover Brothers and Kenya's Mishel are Out!!

Update: Poor Tanzanians! two are evicted! We're left only with Hisia and That pretty lady wth powerful vocals,Angel.

UPDATE:Show ndo imeanza tena rasmi usiku wa leo. Tunategemea washiriki kadhaa wataingia kwenye academy na wengine kubeba virago.
Join me watching and observing .
Inaoneshwa Citizen Tv na Channel 5

Wasalaam.
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu.
Binafsi nimeangalia leo hicho kipindi. Ni burudani kwa kweli. Kuna vipaji vya hali ya juu kutoka nchi zote shiriki save for Southern Sudan ambao wamebakia na mshiriki mmoja tu so far katika top 25.
And for the first time nadhani Tanzania tumepeleka vipaji hasa.

Na safari hii former BSS contestants including Nkwabi wote wamepgwa chini.

Nimeona ishu ya upendeleo wa wazi kwa wakenya.Walikua 7-tofauti na nchi nyingine zote,na wamepita 6 kati ya hao including a duo. Tanzania walikua watano na wameenda wanne kwenye top 25. Ikumbukwe kuwa bado hawajaingia kwenye academy mpaka next week na kuna mchujo mwingine prior to that.

Baada ya hapo nikarudi kuangalia EBSS. Ninaandika ujumbe huu nikiwa hospitali kitandani nikitibiwa kutokana na heart attack nlopata baada ya kutazama show yao. I am considering law suit for mental and physical injury as a result.

Hivi mnadhani hawa BSS wana nia hasa ya kutafuta vipaji?Hivi unaweza kulinganisha na washiriki hata wasiosail through TPF6?
 
Eti upo hospital!! Kisa? Show mbaya? Umenichekesha sana... Nafikiri BSS wabadilike katika kuhakikisha shows zao sio za kuangalia judges wanavyoshushua contestants bali kuhakikisha wanainua vipaji vya vijana. So far sijaona mshikiriki yeyote aliyefanikiwa kimuziki kutokana na BSS, mashindano yakiisha na vipaji vinaishia hapo hapo.
 
Ila in all fairnest, MJ alikuwa mkweli sana leo. Maana ilikua Inafika point unajiuliza hao majaji wenyewe hawaoni aibu?
 
Ila mimi naamini vipaji vipo SA got talent inapatikana ETV siku za alhamis kama sijakosea

Saa ngapi?Wenzetu tunaona hata matunda yao..angalia Joshua Ledet alivotokea American idol,au jodie(Nigerian idols) anavohit nw karibu Africa nzima na track ya oh baby(kuchi kuchi)..au Alpha wa Tpf.

Halafu angalia Jumanne Idd,Pascal Cassian,Misoji Nkwabi, Haji et al..save for may be,a lito, Walter Chilambo na Kala.
 
Haya mashindano ya Tusker project fame tangu nimeanza kuyafuatilia Watanzania tunafanya vibaya na ni Msechu tuu alijaribu kudogo kutufurahisha Watanzania na sana sana sii kwa kiwango kikubwa saana cha kuimba lakini ni ujanja ,uchangamfu na ucheshi pale anapoona range ya sauti yake haifiki na kufukia mabode either kwa kucheza au kuongea maneno ya vichekesho ambavyo viliweza mpaka kumdatisha Muamuzi nguli na mkorofi Judge Ian

Tatizo la Tanzania ni lipi? Ni vipaji vya kuimba hatuna? Hapana bongo tuna vipaji kibaao, Je ni Lugha ya kiibereza inatubabaisha? Hapana hata kiswahili kule kinakubalika wanachoangalia ni kipaji na ufundi wa kuimba nyimbo za melodia Tofauti.

Nimeshuhudia mashindano ya mwaka huu Uganda wamepeleka vijana wakali woote na ilibidi mpaka waamuzi walipiga kura kuangalia atarudi nani.Ni kitu gani kimesababisha Uganda kuonekana wamepeleka vijana waliojiandaa kiwango kile? Mimi ninadhani yawezekana Juliana anatumia ujuzi wake wa kuwa judge muda mrefu kuangalia ni sifa gani zinahitajika pamoja na kuwanowa ili waendane na viwango.

Lakini Tanzania si alikuwepo mtu anaitwa Holmes ambaye mwaka huu amerithiwa na Mzee Zoro? Yeye alikuwa akirudi nyumbani baada ya mashindano alikuwa anafanya nini ili kuepuka aibu ya wewe mwenyewe kumchagua mtu na kwenye mashindano anaonekana anapwaya?

Nadhani ipo sababu ya msingi ya mashindano haya kuandaliwa vyema kinchi na kutangazwa sio kushtukiza tuu interview Dar es salaam na kudhani kuwa Tanzania ni Dar Peke yake. Experience ya Bongo star search inanionyesha kuwa waimbaji wazuri hutoka nje ya Dar. Mfano mashindano yaliyopita kuna binti mmoja kutoka Zanzibar ana viwango vya kimataifa vya kuimba,wengine ni ndugu mabinti wa pwani wana majina magumu magumu lakini kama hao wakienga wanaweza kuiwakilisha vyema nchi.

Mashindano ya mwaka huu tuwasindikize tuu waganda waliojiandaa vyema nakwa mbali wakenya wachache kwangu binafsi kwa wawakilishi niliowaona wa bongo siwakatishi tamaa ila kwa changamoto iliyopo raud mbili zijazo watakuwa wamerejea nyumbani woote.Tujiande kwa mwakani kwa kutoa matangazo ya kutosha na wadau mbalimbali wanaojua vipaji vya kweli wasaidie kwa hili ili nchi iweze kupata vipaji vya ukweli vya kuwakilisha
 
mida ya saa tatu japo sometymez nasahaug kuangalia ila this week nikikumbuka ntakujulisha hapahapa,pia kule wanatafta vipaji mbalimbali sio kuimba tu kama ebss au tpf6
 
mi shelewag hyo kt mpangilio wake magumash tu kwan ishaanza au ndo mchujo?
 
Haya mashindano ya Tusker project fame tangu nimeanza kuyafuatilia Watanzania tunafanya vibaya na ni Msechu tuu alijaribu kudogo kutufurahisha Watanzania na sana sana sii kwa kiwango kikubwa saana cha kuimba lakini ni ujanja ,uchangamfu na ucheshi pale anapoona range ya sauti yake haifiki na kufukia mabode either kwa kucheza au kuongea maneno ya vichekesho ambavyo viliweza mpaka kumdatisha Muamuzi nguli na mkorofi Judge Ian

Tatizo la Tanzania ni lipi? Ni vipaji vya kuimba hatuna? Hapana bongo tuna vipaji kibaao, Je ni Lugha ya kiibereza inatubabaisha? Hapana hata kiswahili kule kinakubalika wanachoangalia ni kipaji na ufundi wa kuimba nyimbo za melodia Tofauti.

Nimeshuhudia mashindano ya mwaka huu Uganda wamepeleka vijana wakali woote na ilibidi mpaka waamuzi walipiga kura kuangalia atarudi nani.Ni kitu gani kimesababisha Uganda kuonekana wamepeleka vijana waliojiandaa kiwango kile? Mimi ninadhani yawezekana Juliana anatumia ujuzi wake wa kuwa judge muda mrefu kuangalia ni sifa gani zinahitajika pamoja na kuwanowa ili waendane na viwango.

Lakini Tanzania si alikuwepo mtu anaitwa Holmes ambaye mwaka huu amerithiwa na Mzee Zoro? Yeye alikuwa akirudi nyumbani baada ya mashindano alikuwa anafanya nini ili kuepuka aibu ya wewe mwenyewe kumchagua mtu na kwenye mashindano anaonekana anapwaya?

Nadhani ipo sababu ya msingi ya mashindano haya kuandaliwa vyema kinchi na kutangazwa sio kushtukiza tuu interview Dar es salaam na kudhani kuwa Tanzania ni Dar Peke yake. Experience ya Bongo star search inanionyesha kuwa waimbaji wazuri hutoka nje ya Dar. Mfano mashindano yaliyopita kuna binti mmoja kutoka Zanzibar ana viwango vya kimataifa vya kuimba,wengine ni ndugu mabinti wa pwani wana majina magumu magumu lakini kama hao wakienga wanaweza kuiwakilisha vyema nchi.

Mashindano ya mwaka huu tuwasindikize tuu waganda waliojiandaa vyema nakwa mbali wakenya wachache kwangu binafsi kwa wawakilishi niliowaona wa bongo siwakatishi tamaa ila kwa changamoto iliyopo raud mbili zijazo watakuwa wamerejea nyumbani woote.Tujiande kwa mwakani kwa kutoa matangazo ya kutosha na wadau mbalimbali wanaojua vipaji vya kweli wasaidie kwa hili ili nchi iweze kupata vipaji vya ukweli vya kuwakilisha

Umeandika thesis nzuri sana mkuu

---avatar yako inatisha bwana----
 
TZ vipaji vipo, tatizo ubabaishaji wa waandaaji..
 
Ha ha haaaa pole upate nafuu ni mstuko wa kawaida..

Sasa jaribu kuangalia na

The Voice
na
American Idol ..

Ushauri wa bure uwe na doctor karibu ..
 
niliandika mada hapo juu kuwa watz tumepeleka aibu kenya sasa inaanza kujionyesha wawili sasa hivi wanarudi nyumbani
 
Ha ha haaaa pole upate nafuu ni mstuko wa kawaida..

Sasa jaribu kuangalia na

The Voice
na
American Idol ..

Ushauri wa bure uwe na doctor karibu ..

American Idol huwa nawatch. Hyo the voice ni ya wapi na huwa aired channel ipi? prs
 
Last edited by a moderator:

The Voice America na
The voce UK
Hii kitu tunapata AXN..

Haswa ukiangalia ya USA ni tamu zaidi. The Dude
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom