Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti.
Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine Yale walimshauri na kile anakiona akasema nisipo Ng'atuka kesho itakuwa ya aibu akijuwa moyoni yapo mambo kwa wakati ule watanzania hawakuyajuwa ila mwisho wangeyajuwa na ingekuwa shida kwake.
Pili aliona upepo wa Dunia kule unaenda akajuwa kabisa ipo siku Siasa za ujamaa na kujitegemea zitakuwa wazo mfu mbele ya kizazi kijacho.
Tatu aliona huko mbeleni Dunia itakuwa kwenye mkwamo mkubwa sana hasa baada ya elimu ya usalama kuwa kubwa sana na kusababisha tawala kuanguka.
Mwl Nyerere aliona leo na ndio maana baada yakutoka madarakani akawa ndie mtu alisema tuachie vyama vingi akijuwa chama tawala siku moja kitakuwa same chama cha siasa ama kitagawanyika kuleta mabadiliko ktk siasa za chama alikumbuka kule tanu to CCM ilitoka mpaka leo.
Kwa wale walikuwa karibu naye Mwl walimsikia maono yake leo japo muda ule ilikuwa hali bado sio kama ya leo.
Tanzania kwa sasa tupo kwenye ule wakati wazee wetu walio hai na walio kufa walitabiri na hatupaswi kupuuzia mawazo yao ambayo ndio Siri ya uwepo wa Tz kesho.
Utakubaliana na Mimi ukada na uchama sio mwendo wa Dunia inayokuja yaani ukada na uchama sio mwendo wakisiasa mzuri kwa Mazingira ya sasa na yajayo.
Nilazima Taifa lolote imara lijenge taasisi zake yaani miimili mitatu imara serikali yenyewe, Makama na Bunge.
Pia nilazima idara za usalama kuwa na uhuru mkubwa ktk utendaji kazi ili kuimarisha usalama wa nchi pamoja na uhuru na mshikamano wa Taifa.
Idara imara za usalama pamoja na ulinzi wa Taifa ndio vitu kama Taifa tunapaswa kuvifuma kwa nguvu zetu zote.
Nilazima tuwe na vyombo imara kuingia na kutoka kwa majirani zetu na kuweza kushinda vita ya kiuchumi pamoja na ulinzi wa mipaka yetu.
Nilazima kuwa na watu imara wenye weledi ktk maswala ya usalama na screening za wale wanataka kushika hatam za Taifa ili kuepuka Yale yalizikuta nchi majirani kama Egypt. Lipo somo kubwa sana pale Egypt kwenye mambo ya usalama na jinsi Taifa lingine linaweza kuingilia na kupanga mambo ya Taifa lako mpaka kukuwekea Rais.
Nimuhimu sana kuhakikisha uwezo wetu wako technology.