Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
ITV sikuzote huwa ni kuwadhalilisha waislam na uislam, mengi hutofanikiwa agenda yako dhidi ya uislam mwishowe m/mungu atakufisha dhalili hapa duniani.
 
wakiristo watz bara bana. Wakichochea vurugu wapigiwe makofi. Nimewaona kanisa la mwenge pale. Siku ya pili wakapigiwa makofi humu
 
Hivi mnataka migogoro yenu ya kugombea sadaka na misikiti kwa kuuwana ziripotiwe kwenye tv! Mngekuwa mnauwana kwa mapanga ingeripotiwa ila mnauwana kwa kutupiana yuleeee (jini) je itaripotiwaje?
 
nawakubali sana viongozi wa kikisto walivyo na hekima kwani nafikiri hekima inawapa uwezo mkubwa wa kupangua pumba na chuya ni zipi
ila kwetu siye duuuuuh
 
message sent to ITV
sielewi kitu kimoja, kwani waislam wanataka msaada wa itv au nini...wao pia si wana tv iman, wajibroadcast kwenye hiyo kujitofautisha na kile ambacho itv wanakifanya, wasilaumu tv ya mtu binafsi inachofanya kama vile wamechangia chochote kuiimarisha au kuiendesha tv hiyo...icho ni kitu cha mtu binafsi, mali ya mtu hiyo wala si ya serikali.
 
wanatakiwa waache propaganda tu. Sio chengine. Mbona kwa wakiristo hawaleti propaganda? Kwani hiyo ni tv ya dini ya kikiristo:
 
Uhuru walianza kudai waisilamu, mkristo mmoja akawazidi akili, akawa mwenyekiti, akabadili TAA kuwa TANU, akapata uhuru, akasajili serikali ikawa ya wakristo. Hivyo basi "KUBALINI YAISHE" na "LIWALO NA LIWE"
 
Mnalalamikia Itv je mbona hamsemi na ATN ILE YA WALOKOLE?, jamani kuweni na akili basi Itv ni mali ya mtu binafsi, ata akiamua kujiweka yeye mwenyewe anaweza!. Kwa nini mnamtaka awasaidie!!!!!!

Kukosa akili na kuwa na akili ya jini na mashetani!
Kuna tabu sana,

bado kidogo mtataka na Atn wawabebe!!!
 
Kuusimamia uislam ndio kuchochea umwagaji damu? Kwani wewe na viongozi wako wasio waislam kuitwa makafir kuna tatizo gani? Unapoleta habari hapa, hakikisha kwanza umeichambua kwa kina

mfungo mwema.
 
Msisikilize mambo msio kuwa na elimu nayo ,hao wamesema hawana imani na viongozi wa Bakwata ,kwani viongozi hao hawatokani na umoja wa waislamu ,BAKWATA ni taasisi ya serikali kama zilivyo taasisi zingine.
 
Msisikilize mambo msio kuwa na elimu nayo ,hao wamesema hawana imani na viongozi wa Bakwata ,kwani viongozi hao hawatokani na umoja wa waislamu ,BAKWATA ni taasisi ya serikali kama zilivyo taasisi zingine.

ramazani kareem!
 
naona gap kati ya jamii ya kiislam na chadema inaongezeka kwa kasi ya ajabu.
 
Sio utukane waislamu wote wa Tanzania kwa mapungufu ya kundi fulani. Hicho ni kikundi tu na sio Waislamu wa Tanzania. Nchi imejaa agenda za kiitikadi kwa madhehebu ya kidini na vyama vya siasa.
 
wanatakiwa waache propaganda tu. Sio chengine. Mbona kwa wakiristo hawaleti propaganda? Kwani hiyo ni tv ya dini ya kikiristo:

Mkuu Mpesapesa
Bado nasisitiza kuwa iliyotajwa zaidi katika hicho kipindi ni TBC lakini wewe umepindisha na kusema ITV ili wale ambao hawakusikiliza waamini hivyo. Mimi nimekisikiliza kipindi hicho mwanzo hadi mwisho. Wakati mwingine tuwe wakweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…