Sasa kumbe ni mchangiaji mmoja!!!!??? 🙁
Kumbuka kuwa katiba ya Tanzania ibara ya 18 inatoa haki kwa wananchi kupata taarifa na kuwa na uhuru wa maoni. Ibara hiyo inasema, Kila mtu, anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake.....
Hiyo yeye kama mchangiaji ametoa maoni yake wewe kinakukera nini...?
Unapoona mwenzako anakosea palepale utumie hekima kumrekebisha kwa kutumia busara/hekima, kwanini na wewe usingepiga simu ukatoa maoni yako ili kumrekebisha...na utoe hoja zako?
Sasa huenda huyo ulomsikia sio member wa JF kwahiyo hatapata fursa ya kupata hoja zako lakini lau kama palepale ungepiga simu ukanushe alichosema ni wazi kuwa na wewe angekusikia ujumbe wako..
Mtoto anapokosea sio uende kwa jirani kumsengenya bali palepale unamwita na kumkemea...
i hate islamic religion,i hate muslims!
Tatizo sio mtu mmoja kama ulivyomkosoa jamaa hapo juu,tatizo kauli ile(kuwa Mwalimu ni Kafiri)aliitolea ktk chombo cha habari kinachosikilizwa na wengi,je ni wangapi watakuwa wameshawishiwa na kauli ile na wakaiunga mkono?
Shule ni kitu muhimu sana! narudia Shule ni muhimu mno! jitahidi umpeleke mtoto wako shule ili asipate shida maishani in the future.
Uislamu ni dini moja safi sana,ila kuna watu wachache au taasisi chache wanaitumia vibaya..
Hii redio ina baraka toka magogoni mtapiga kelele weee sheria zitawekwa kando ili lengo lao litimie.
U wil hate islam but islam wil go on spreading all over the world.pamoja na harakati za kuiangamiza mnazofanya hamtafanikiwa daima milele.mtakufa uislam hautakufa kwa kuwa ni dini ya haki....shame on u.