mbasamwoga
Member
- Jul 6, 2011
- 70
- 13
Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.
wacha waislamu tulalamike na tutalalamika mpaka kiama lkn hakutakuwa na mabadiliko yoyote kama tutaendekeza sera ya udini huku tukiwaacha watu wenye uchungu na nchi kwa sababu tu si waislamu.
Makanisa yalijenga mashule na vyou vingi tu kusomesha na kuelimisha sio wakristo tu, hata waislamu ingawa walikuwa wanakatazwa eti wabadilishwa kuwa wakristo.
Waislamu walikuwa bize kujemga Madrasa za kusoma qur'an na misikiti miingi huku mahudhurio yao kwenye vikao vya gahawa yakivunja rekodi.! Waisilamu Msipokubali kuingia darasani mtabaki hohe hahe mkiwa na kampani ya Majini yenu mnayoyahusudu.
mkuu mchemsho hujakosea,<br />
<br />
makanisa yalijenga mashule na vyou vingi tu kusomesha na kuelimisha sio wakristo tu, hata waislamu ingawa walikuwa wanakatazwa eti wabadilishwa kuwa wakristo. Waislamu walikuwa bize kujemga Madrasa za kusoma qur'an na misikiti miingi huku mahudhurio yao kwenye vikao vya gahawa yakivunja rekodi.! Waisilamu Msipokubali kuingia darasani mtabaki hohe hahe mkiwa na kampani ya Majini yenu mnayoyahusudu.
Tutajie hayo mengi yaliyofanyika kukandamiza uislam.Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.
chadema mmesahau? Mnahubiri maandamano. Kumbe mfanye nyinyi mkifanyiwa nyinyi mnalia?
mkuu mchemsho hujakosea,
kwa kweli wakristo wamesoma na ndo maana miaka hii 50 ya uhuru wa bendera tunaona maendeleo kila nyanja ya maisha. kipato sasa hivi cha mtanzania wakawaida ni US dola 50 kwa siku.
Ni bora kukaa kimya kuliko kujisifia kuwa mmesoma wakati mmelifanya taifa liwe masikini kuliko yote duniani huku likipitwa hata na nchi ambazo zina vita kila siku. shame on you mchemsho wa kitimoto/umbwa.
kikwete alipoona anashindwa kujibu maswali ya wananchi na kuwapa pesa hawa al quida wa Tanzania, ngoja hao serikali ya US watakapoandika report ya terrorism kuhusu Tanzania ... its coming!
Hizo kurasa za kati sijasoma lakini uchochezi wa redio Imani ni upi?.Hamuoni kuwa wachochezi ni maaskofu wanaomuandikia Kikwete risala ya kusoma msikitini ili kuhalalisha dhulma zao?.
Eti maaskofu waliomualika Julai 22 mwaka huu walisema ..Mahakama ya kadhi ni jambo zuri la waislamu lakini lisitumie hazina ya serikali kuhudumia.....Akawajibu mawazo yao yanafanana na ya serikali.
Yaani we Kikwete mambo ya waislamu hadi ukumbushwe na maaskofu kuhusu uzuri wake !.Halafu maamuzi yao kwamba mahakama isitumie nyenzo ya serikali kuziendesha ndio umekubali wakati wewe unajua jinsi gani hazina ya serikali inatumika kuendesha mambo ya wakristo.Hapa waislamu wote Tanzania wanapata uchungu hivyo kulaumu redio Imani ni bure kwani wao wanaonesha hisia tu za waislamu kama zilivyo.