Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Natamani ule uchunguzi kule mars ukamilike halafu watu wa namna hii wahamishiwe huko,yamkini dunia ikawa tulivu.lol!

redio iman ni moja ya redio za kipumbavu-na jaribu kupita mtaani kwenye vijiwe vya kahawa uangalie hali za hao wasiklizaji wake zipoje-ndipo utajua inasikilzwa na group gani kwenye jamii

tatizo mmezoea kulia lia kama watoto wa kike! na ndivyo imani yenu ilivyo haiwezi kusimama bila kukamata dola kwa kuwa ni imani ya kutunga.

hivi kuna ulazima waislamu wajiunge chadema kwani ni lazima?, mmelianzisha mlinywe wenyewe!

jamani redio za waislam ni 3, mnapiga kelele namna hiyo je? siku waislam wakipata tv? waislam walimpokea nyerere kutoka pugu sec kaja na kaptula, mshume kiate akamshonea suruali akampa nyerere waislam wakampa uongozi wa tanu nyie kipindi hicho bado mmewakumbatia wakoloni mlikuwa na maslahi nao na walikuwa ni viongozi wenu wa kiimani, Alipata kusema kusema marehemu sheikh takadir kumwambia nyerere akimnyoshea fimbo akamwambia wewe julius tumekuweka uwe kiongozi utakuja kuwapendelea wakristo wenzio na ndio yaliyotokea ushahidi wa haya nenda kasome kitabu cha kanisa katoliki na siasa za tanzania bara. padri c. sivalon anasema kanisa katoliki lilipata nguvu kubwa kipindi cha mwalim mwalim alilijmarisha kanisa ndio maana leo kanisa limemtukuza na kumtangaza kuwa mwenye heri, nyerere hakuwa kiongozi wa dini vipi wampe heshima kubwa namna hiyo wakati yeye alikuwa ni rais wa nchi?

redio iman ni moja ya redio za kipumbavu-na jaribu kupita mtaani kwenye vijiwe vya kahawa uangalie hali za hao wasiklizaji wake zipoje-ndipo utajua inasikilzwa na group gani kwenye jamii

tatizo mmezoea kulia lia kama watoto wa kike! na ndivyo imani yenu ilivyo haiwezi kusimama bila kukamata dola kwa kuwa ni imani ya kutunga.

Katika kuthibitisha kuwa hawa jamaa hawana nia ya that ya kuleta maendeleo hebu jaribu kuchanganua maeneo ya tanzania yenye waislam wengi na na yenye wakristo wengi na uone ni sehemu ipi yenye maendeleo..
vile vile jaribu kufuatilia maeneo ambayo uislam uliwahi kufika mapema na maeneo ambayo ukridto ulifika mapema and then compare where is more develope? Jaman hawa jamaa ni wazee wa porojo tu ...ukifanya uchambuzi utathibitisha tu labda kama wewe ni kichaaa.

"Ukiona mtu anaongelea udini au ukabila basi unue mtu huyo amefilisika kifikra" - Mwalimu JK Nyerere

muisilamu ww kuelewa kwako kudogo sana na wenzio ndio maana shule zinawashinda mnabaki kulalamika soma tena umuelewe mtoa mada!!

Hapa kuna agenda ya chuki za dini dhidi ya Waislamu na Redio yao.

maskini hoja zako za kisenge sijui kwa vile mnaruhusiwa kwenda kanisani na janaba ndo maana akili zako za janabajanaba pumbaaf!

Hizi ndo mada zenye akili nimshukuru ustaadh Ilunga na sheikh Mohammed Iss (wasomi) kwa kutufungua macho tulikuwa hatujui tz kuna udini hebu tizama wizara ya elimu ilivyo mfumo kristo halafu angalia wakati wizara hiyo iliposhikiliwa na marehemu kigoma ali malima, utagundua nini mfumo kristo hasa baada ya yule ajuza mongela kupeleka hoja binafsi bungeni kuondolewa malima kwenye nafasi yk na hii ilitokana malima kugundua waislam wanachujwa kwenda elimu ya juu.Waislam huchunguza jambo ndipo husema sio nyie mnaropoka bila kufanya uchunguzi au kwa vile mnaongozwa na mapadre mashoga mmelawitiwa mpaka akili.

ww ndio chizi, kwa nini maeneo kama Tabora na Kigoma yako nyuma kimaendeleo? kwakua yanakaliwa na waislamu wengi na huu ndio mfumo kristo ulioandaliwa na nyerere (
https://www.jamiiforums.com/clientad/adpeeps.php?bfunction=clickad&uid=100000&bmode=off&bzone=vbulletin&bsize=all&btype=1&bpos=default&ver=2.0

Kaka nadhani fanya bidii uongeze uwezo wa kufikiri.Kama CHADEMA ni chama cha kikristo kwann hawakushinda uchaguzi? maana nijuavyo wakristo ni wengi hapa Tanzania. Usipumbazwe!

Nyerere ndio alianzisha udini nchini kwa sababu aliweka ukristo wake mbele kuliko utanzania, Nyerere alivunja EAMWS alipoona wana mpango wa kujenga chuo kikuu cha kiislam. na hii ndivy mlivyo makafiri mnapenda sana kulalamika pindi mnapoona waislam wamepata maendeleo, mauaji ya m/chai chanzo ni hawa hawa alianza kusema Askofu Lwambano kuwa mihadhara ifungwe na baada ya hapo serikali ikaja ikawaua waislam, kipindi cha mkapa mlikuwa kimyaa madhambi aliyokuwa anayafanya mlikuwa mnafunika leo mnataka waislam wawaunge hapo mmechelewa, Leo mmeanza kupiga kelele juu ya radio imani mbona sisi tunasikia maneno ya kashfa ktk radio na tv zenu mbona tuna wavumilia, mmepinga oic waislam wametulia nyie mnaroho mbaya hata mungu anawajua?

Duh! Hii Kali karedio kamoja tu kanawatoa jasho? Hizi mbili zinaishia hapahapa dar! hako karedio Imani ndo kanasikika nchi nzima. Duh mnatisha jamani hamtaki tumiliki hata hako Kafm - Duh huu ni ubinafsi wa hali ya juu!

Napenda nichukue nafasi hii kuwapongeza waislamu, hiki ndio kitu kilichonifanya nibadili dini mwaka 2007. Ni watu wenye hoja za msingi na sio wenye kukurupuka. Ukikutana na mtu mwenye Elimu sahihi ya uislamu hata kama amesoma kwa kiwango cha Form six (Thania) ni zaidi ya profesa wa sheria ambaye kasoma Elimu ya secular . Hili unaweza kulithibitisha hata hapa JF ambapo matusi mengi hutolewa lakini watu wako makini hawajibu hovyohovyo. Naamini, waislamu wanaoyaona haya matusi ni wengi lakini kutokana na busara ambazo ALLAH kawajalia wamekuwa wavumilivu. Pengine hii inatokana na kutambua kuwa watu wa dini nyingine ni watu wanaohitaji zaidi mwongozo sahihi kwani Wamepotea!

1) Hapo kwenye kufelishwa napingana na hao maustadh wangu!... kupasi kwa mwanafunzi ni juhudi yake tu! sijui kwanini hili jambo lipo kwa baadhi ya viongozi wetu wa dini!~ HAKUNA KITU KUFELISHWA...! wengine mbona waislamu nimesoma AL-MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY ipo upanga sarender bridge pale , tumesoma vizuri sana na sasa ni madactari wazuri tu na tunaheshima huku ughaibuni.

wanapokosea waislamu ni kuufanya mtihani wa islamic knowledge kuwa mgumu sanaaaa! kiasi kwamba hata kwenda kuufanya unafikiria marambili. wenzetu mtihani kama wa divinity ni mwepesi ndio unawapasisha na kufanya shule zao zikawa juu!.. mdogo wangu wa kike alisoma Marian girls , aliisoma divinity for one week akaenda kuketi mtihani akapasi. Natoa suggestion kwa BAKWATA huu mtihani wa islamic knowledge wa uangalie tena. Katika swala la ELIMU wa kujilaumu ni sisi wenyewe waislamu !

2) Ni kweli nyerere alikuwa hana msaada kwa waislamu.. nyerere alikandamiza waislamu.. nyerere aliua infrastructure zote za mikoa ya pwani iliyoshika dini mfano mzuri TANGA.... hapo kwenye swala la nyerere na wasupport 100% .. kuhusu mfumo kristo! but i hvae my doubts

3) Wewe kama nani upinge upinge radio iman...?! hulazimishwi kusikiliza

hawa hawapo kwa ajili ya watanzania wameweka ukristo wao mbele, wewe huoni membe alipokuwa anasimamia suala oic na kadhi alisema safi alipokemewa na maaskofu kafyata mkia, leo mnataka waislam waunge mkono chadema wakati slaa ndie alisimama kidete kupinga kadhi bungeni

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…