Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Hahaaa. Kweli kabisa ila pacha wako kakuelewa barabara. [emoji2]

Nimeshinda salama my. Sijui kwako na uwapendao.
Hahaha ww lazima unielewe bwana,niwapendao wako poa ,mmojawapo ww na mwanao mko poa [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Nimekunywa pombe na kuvuta sigara kwa miaka ishirini ,mwenzi Machi mwaka huu nimeacha vyote, kwa kweli nafurahia maisha, ninafanya kazi muda mrefu,sina hangover,kipato kimeongezeka sababu napiga kazi sana, nimejiajiri, afya yangu imekuwa safi, ngozi yangu imebadilika sababu sigara zilifanya uso wangu ukakamae, kwa kweli nina enjoy lie, madeni baa hakuna,familia yangu unakula vizuri, faida ni nyingi mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marahaba mdogo wangu.

Usinikimbie mdogo wangu hebu niambie umeanza lini hii tabia hata dada yako sina taarifa. [emoji2]
Yule mkaka ndiyo amenifundishaa[emoji85] nisamehe Dada sirudiii tena[emoji19]
 
Hata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake
Pamoja sana mkuu. Acha tulewe tu.
 
Yaani mkuu huo ubaguzi wa kwenye sherehe ndio ukukoseshe amani.

Kwani kwenye sherehe kwa mwezi unaenda mara ngapi?
Tz ilikuwa nadra sana ila ugenini ni kila weekends
 
26bb5be60776e24158d06821a9e24c8c.jpg
we feel sorry kwa wale ambao hawajawahi kulewa
 
Sasa hapo anayetakiwa kupewa pole ni wewe au hao waliokuwa wanakata mauno ovyo kisa pombe??
 
Ukinipa faida mbili tu za pombe ambazo sio za kutengeneza nitaanza kunywa na mimi leo hii ili niwe mwanaume kamil

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Hakuna mwanaume ambaye hajui faida za pombe acha kutuaibisha
 
Hakuna mwanaume ambaye hajui faida za pombe acha kutuaibisha
Mimi ninazozijua ni fatty liver, liver cirhosis, nephrotic syndrome, alcohol addiction na nyengine nyingi. kama nimekosea naomba kurekebishwa.

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Back
Top Bottom