pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,249
Wewe pia una ulevi wako ambao nahisi ni mbaya kuliko pombe yenyewe!Wasikuumize kichwa hao walevi, kuehuka ndio raha yao mkuu.
mafisadi hayana rangi
Wewe pia una ulevi wako ambao nahisi ni mbaya kuliko pombe yenyewe!Wasikuumize kichwa hao walevi, kuehuka ndio raha yao mkuu.
mafisadi hayana rangi
Umejuaje kama kunywa pombe ni kama jela wakati hujawai kunywa? The only way to find out about anything is to try it. Mkuu ukipata pombe ndio unakuwa huru kucheza, kuongea, na kujiamini kama vile ulipokuwa mtoto mdogo haujajazwa madudu kichwani mwako ulikuwa unajiamini unafanya upendacho hadi kutembea bila nguo. Shida ilianza ulipoanza kuambiwa usiseme hivi, usivae hivi, usicheze hivi, upo uchi, usifanye hivi mbele ya mwanamke au mwanaume. Sema unatakiwa ufanye kitu chochote bila kuzidisha kiasi, hata sukari na chumvi au chakula ukitumia kwa kuzidisha kiasi kinachotakiwa kwako vina madhara.Mi kwangu naona pombe kama jela. I will never ever try that drink. May god guide me
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni kweli nafikiria sana maendeleo mpaka na lewa bila kujitambua.Wewe pia una ulevi wako ambao nahisi ni mbaya kuliko pombe yenyewe!