RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,731
- 11,470
Dem unakunywa pombe?.Poleni...
Dem unakunywa pombe?.Poleni...
hapa umenisema pombe sijawahi onja hata kidogo ila habari ya wanawake najaribu jaribu kdgHahahaaa mambo mengine bhana yani mtu anasema pombe hanywi lakini mzinzi kupindukia na msaliti wa ndoa alaf anaona wanaokunywa pombe wakosefu !!!! Kweli nyani haoni nyuma yake tunaishi kama binadam tu sio malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa umekubaliana na mmh
hapa umenisema pombe sijawahi onja hata kidogo ila habari ya wanawake najaribu jaribu kdg
Teh teh teh teh teh duhUmeshindwa hata kuvuta ugoro?
Hahahaaaa eti midevu........Tumeitana sisi wewe na midevu yako umefata nini huku... tuache wanywa juice tujadili mambo yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana, tabia za wanywa pombe tukizianika hapa watatoa povu sana japo wanadai sisi ni wapiga majungu. Tabia mojawapo inayoniudhi na hatarishi ni kufakamia kila mwanamke na kuzitelekeza familia (matumizi), pia wengi wakilewa huwa hawakumbuki kinga na wabaguzi sana katika kusaidia (unaweza kumuomba msaada muhimu kama wa kuuguliwa asikupe ila kununua pombe yuko tayari kulipa hata cash crates za bia). Wengi wao hasa wanaume wameharibu hata tabia za wake zao.Pole,nilipata taabu sana kuacha pombe,nilivyotoka kuacha nilijihisi mnyonge sana maana marafiki zangu ilikuwa ni kama wimbo kila nikiwa nao wananipondea,kuna mitaa nilikuwa napita nikaacha kabisa nikihisi kila mtu ananisema mimi,lakini nilizoea ikafika mahali nikaanza kuwaona wanaokunywa pombe ni watu wa hovyo tu,kwani kuna baa nilikuwa naingia mpaka najiuliza hivi ilikuwa ni akili yangu kweli...
Sony Z3
Hongera sana, tabia za wanywa pombe tukizianika hapa watatoa povu sana japo wanadai sisi ni wapiga majungu. Tabia mojawapo inayoniudhi na hatarishi ni kufakamia kila mwanamke na kuzitelekeza familia (matumizi), pia wengi wakilewa huwa hawakumbuki kinga na wabaguzi sana katika kusaidia (unaweza kumuomba msaada muhimu kama wa kuuguliwa asikupe ila kununua pombe yuko tayari kulipa hata cash crates za bia). Wengi wao hasa wanaume wameharibu hata tabia za wake zao.
Ukinipa faida mbili tu za pombe ambazo sio za kutengeneza nitaanza kunywa na mimi leo hii ili niwe mwanaume kamilMwanaume ambaye hanywi pombe bado hajakamilika
Like whaaaaat?
Mkuu wewe sio mlevi,sio mnywaji sio muonjaji sijui nikuweke kundi gani.Miezi 6?Hatariiiipombe ikikudrive umekwisha! mie sikuw mtumiaj wa kitu chochote!nakunywa pombe baada ya kuona upweke umenizid !furaha yangu niliyokuwa nipenda siwez kuifany tena kwasasa(napend kwend club nicheze mziki weee) sasa nikajifunza wine kwa ugumu kweli kweli!sas hv ni expert!ingawa naicontrol !naweza kaa 6mths sijagusa wine!.....!
Mkuu wewe sio mlevi,sio mnywaji sio muonjaji sijui nikuweke kundi gani.Miezi 6?Hatariiii
Hahahahahaha mkuu umenichekesha hadi machozi, mnafyatuanaHata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake