Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Pombee utamu wake pembeni yako uwe na mbebeziii yanii full rahaa inashuka tuuuu....[emoji6] [emoji39]
Ubaya wa pombe kila ikishuka huwa inapitiliza na kushuka chini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Hadi nimecheka kwa sauti mkuu. Yaani kiuhalisia huna hata chembe ya aibu hasa unapokutana na sehemu yenye mziki lol. [emoji23] [emoji23]

emmyta miye kwenye mziki yaani mlevi atasubiri sana. Maana wkt tunasoma mate zangu wa naenda kunywa huko ukifika saa 3 wanakuja kunifuata ili twende disco wenyewe walikubali kuwa hapa ni namba nyingine.
 
Ubaya wa pombe kila ikishuka huwa inapitiliza na kushuka chini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] unavituko unaonekana mcheshi sana.....
Sindiyo maana nikasema tamu ukiwa na mbebizi pembeni
 
Karibu na mimi nitaanzisha thread yetu tunaokula moshi mwepesi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Wanaokunywa pombe wana raha sana, maana hata wakirudi nyumbani kama wameoa, basi watavuliwa nguo, viatu, soksi na kupandishwa kitandani au kulazwa vizuri, kama alijikojoea nguoni basi nguo zake zitafuliwa kwa haraka, kama ana watoto anaweza kurudi nyumbani tayari watoto wamelala[emoji38] [emoji38] [emoji38] wakirudi nyumbani wao ni kulala tu, kusumbuliwa NO
Kazi ipo kwetu sisi tunaovuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Ujue mkuu wanipa kicheko. Daah.

Hongera sana. [emoji122] [emoji122]

emmyta huwezi amino best zangu wachache sana wanaojua situmii kilevi.Maana miye mambo ya kukaa bar bila mziki sitaki.
Pia nikiagiza sprite yangu namwambia imimine yooote kwenye glasi, anaweka na kijipande cha limao aaahh mtu akitokea ananiona kakunywa boonge LA whisky. Na ile midundo pale kati anashika adabu zao.
 
Wacha wee dada ake eti mbili tatu.

Hivyo hizo ndio za kulewa au ndio zile mnazosema mnakunywa kwa afya? [emoji124]
[emoji3][emoji3][emoji3] dada akee kwa afya hizo umenichekesha sana ujue
 
emmyta huwezi amino best zangu wachache sana wanaojua situmii kilevi.Maana miye mambo ya kukaa bar bila mziki sitaki.
Pia nikiagiza sprite yangu namwambia imimine yooote kwenye glasi, anaweka na kijipande cha limao aaahh mtu akitokea ananiona kakunywa boonge LA whisky. Na ile midundo pale kati anashika adabu zao.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

We ni noma aisee.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] dada akee kwa afya hizo umenichekesha sana ujue
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kumbe za afya eee.

Haya dada ake ila pombe zina mengi zikikolea wengine wanalia na hata kuzungumza peke yao. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom