Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Are u drunk!?
Do u smoke!?
Do u watch porn!?
Are u sex addict!?
Are u religious extremist!?
If the answers are NO! Then u must have psychosis
 
Hahahaaa mambo mengine bhana yani mtu anasema pombe hanywi lakini mzinzi kupindukia na msaliti wa ndoa alaf anaona wanaokunywa pombe wakosefu !!!! Kweli nyani haoni nyuma yake tunaishi kama binadam tu sio malaika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unashauri mtu aanze kunywa pombe kwasababu itamsaidia kuacha uzinzi na usaliti!?
 
Kwahiyo unashauri mtu aanze kunywa pombe kwasababu itamsaidia kuacha uzinzi na usaliti!?
Hapana ila kumnanga mtu kisa mlevi sio vizur kila mtu anaupande wake wa starehe unamsema vibaya kwenye pombe akat wewe mzinzi je inaleta nini kwamfano we kama mzinzi sio mlevi baki hvohvo kama mwenzako mlevi mwache hvohvo sio uje umuelezee tabia zake kilamtu na anasa zake ukae ulikua hlo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pombe ikikudrive umekwisha! mie sikuw mtumiaj wa kitu chochote!nakunywa pombe baada ya kuona upweke umenizid !furaha yangu niliyokuwa nipenda siwez kuifany tena kwasasa(napend kwend club nicheze mziki weee) sasa nikajifunza wine kwa ugumu kweli kweli!sas hv ni expert!ingawa naicontrol !naweza kaa 6mths sijagusa wine!.....!
Hongera na endelea kuwa na msimamo huo
 
Hujakumbana na ubaguzi wa sehemu za starehe ndugu, tupeane hongera japo yataka uvumilivu
Yaani mkuu huo ubaguzi wa kwenye sherehe ndio ukukoseshe amani.

Kwani kwenye sherehe kwa mwezi unaenda mara ngapi?
 
.....halafu wanapenda sana masengenyo hao wanaojifanya hawanywi pombe-...ni hovyo kabisa.
Hahaaaa. Nimecheka mkuu lol.

Hivyo nyie mkishakunywa mnamchana mtu hapo hapo ama sijaelewa?
 
Back
Top Bottom