Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Jipe pole mwenyewe,me sinywi pombe na bado najiona ninathamani kubwa zaidi ya wanywaji.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kumbe za afya eee.

Haya dada ake ila pombe zina mengi zikikolea wengine wanalia na hata kuzungumza peke yao. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaokunywa pombe wana raha sana, maana hata wakirudi nyumbani kama wameoa, basi watavuliwa nguo, viatu, soksi na kupandishwa kitandani au kulazwa vizuri, kama alijikojoea nguoni basi nguo zake zitafuliwa kwa haraka, kama ana watoto anaweza kurudi nyumbani tayari watoto wamelala[emoji38] [emoji38] [emoji38] wakirudi nyumbani wao ni kulala tu, kusumbuliwa NO
Kazi ipo kwetu sisi tunaovuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
Wanawake wachache sana wakukufanyia ivyo karne hii

young kilimanjaro
 
Wanawake wachache sana wakukufanyia ivyo karne hii

young kilimanjaro
Mwanamke hawezi kukufanyia lakini mke atakufanyia, maana ukilewa maini utaweka kwenye shoe stand na viatu utaweka kwenye friji[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Pombe ina raha yake...ila kuna faida zaidi usipokunywa. Chama zuri sana hili
 
Mwanamke hawezi kukufanyia lakini mke atakufanyia, maana ukilewa maini utaweka kwenye shoe stand na viatu utaweka kwenye friji[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
Hahahaaa mkuu tofauti ya mwanamke na mke ni ndogo sana..ukweli ni kwamba siyo kila mnywaji hufanyiwa ivyo na mkewe..
AF inaonekana utumii lakini kitu cha tarime kimekukolea[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]

Kama unatumia karibu, hapa ninapokaa sisi tunavuta sana, kwani hakuna kusumbuliwa na polisi wala nini, yaani full raha, rhen tunavuta kistaarabu
e2b1c10eca6a89fe6f78190fae83a157.jpg

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Nasikia ukipiga hyo ata kama huna pesa unaweza ukahisi mengi ni kibarua wako..niambie kama kuna kaukweli niibukie hapo maskani fasta

young kilimanjaro
 
Nasikia ukipiga hyo ata kama huna pesa unaweza ukahisi mengi ni kibarua wako..niambie kama kuna kaukweli niibukie hapo maskani fasta

young kilimanjaro
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] inawezekana maana tv yangu ni flat ya kawaida ya bei tahisi, lakini nikishavuta huwa naona kama naangalia kitu cha 3D[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Hii pombe ambayo ilisababisha kifo cha Babu yangu baada ya kusombwa na maji alipokuwa anataka kuvuka mto ilihali amelewa!.

Endeleeni kunywa , mtakipata mnachokitaka
 
Amu veri veri faini mai twini hahaha lugha ya malkia haijawahi muacha mtu salama,wewe je dear umeshindaje
Hahaaa. Kweli kabisa ila pacha wako kakuelewa barabara. [emoji2]

Nimeshinda salama my. Sijui kwako na uwapendao.
 
Back
Top Bottom