Tusijifariji CCM inapasuka

Tusijifariji CCM inapasuka

Njanga Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
843
Reaction score
655
Kwa hali jinsi inavyoendelea ni dhahiri kabisa ccm inakwenda kupasuka ata kama sio yote lakini asilimia fulani itaathirika.

Nayakumbuka maneno ya Mzee Kingunge juzi alipoongea kwamba ili CCM ishinde yanaitajika maridhiano pia kwa kiasi kikubwa inahitajika Lowasa ashirikishwe katika mchakato wa kampeni za Magufuli.

Hakika nawaambia maneno yale ya Kingunge ni busara na ya muhimu sana japo wako watu wanayakejeli.
Na kwa tetesi zilizopo Ngorongoro,Singida,Kigoma na Tanga wako mbioni kufanya kama walivyofanya leo Monduli.

Dhambi nyingine wanayoifanya CCM ni kutaka kuwakata watu wote wanaowania Ubunge na Udiwani ambao walimsapoti Lowasa.
Hili nmelisikia mwenyewe kwa mtu mkubwa kabisa akiwaambia vijana mkakati huo uliopangwa.

Kwa hakika CCM sasa iko vipande vipande tusifarijiane na kujipa moyo ukweli ndio huo.
 
Watu kama Nape wanasaidia sana kuufanya mpasuko huo kufanikiwa. Akiwa na Magufuli jijini Mwanza kasikika akiwaambia waliokuwepo kuwa mtu yeyote atakayeendelea kukilaumu chama hadharani wakiwemo wazee wanaowaheshimu (nadhani hapa alikuwa anamaanisha Kingunge) watashughulikiwa.
Sasa kama kila atakaye laumu ukiukaji wa kanuni anashughulikiwa sii ndio watakapoamua kujiondoa kama wafanyavyo sasa?
 
Mambo bado kabisa! Sielewi maridhiano na Lowasa jinsi yanavyotakiwa yawe! Ameonewa na kudhulumia kwa makusudi kabisa! Wala sidhani kama atakubali ingawa najua binafsi hatahama CCM lakini hatawaunga mkono!
 
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa
 
Watu kama Nape wanasaidia sana kuufanya mpasuko huo kufanikiwa. Akiwa na Magufuli jijini Mwanza kasikika akiwaambia waliokuwepo kuwa mtu yeyote atakayeendelea kukilaumu chama hadharani wakiwemo wazee wanaowaheshimu (nadhani hapa alikuwa anamaanisha Kingunge) watashughulikiwa.
Sasa kama kila atakaye laumu ukiukaji wa kanuni anashughulikiwa sii ndio watakapoamua kujiondoa kama wafanyavyo sasa?

Yani magufuli ndio amediriki kuonyesha makucha mapema namna hii?
 
Tatizo viongozi wake wanadhani kupasuka ni kuhama kwa viongozi wake mashuhuri.
Kukatwa kwa lowassa kunaonesha jinsi watu wametengeza chuki baina ya makundi.
CCM wategemee adhabu ya kura za hasira.
 
wache wabishe km waathirika wa HIV ..madhara hawawezi ona ingawa wameshaathirika
 
Dhuluma zikizidi hukaribisha umauti. Kama hili la mpasuko mkubwa ndani ya CCM likitimia utaona jinsi Watanzania watakavyolipuka kwa furaha kubwa sana kufurahia kuanguka kwa hiki chama cha wahuni na mafisadi kilichojaa dhuluma za hali ya juu. Itakuwa kama nchi imepata uhuru wake kwa mara ya pili.
 
Na hapa kauli ya Mwana wa Mflme ndio inazidi kutia chumvi kwenye kidonda, rais hatoki kaskazini na aliyofanyiwa Lowasa ni wazi mambo yalipangwa tangu kitambo........CCM imejitafutia matatizo kwa kuingiza mambo ya familia kwenye taasisi, ninaamini hata Pinda, Wassira, Sitta na jaji ni watu wanaougulia maumivu ndani ya mioyo yao ni vile hawana la kufanya, kitendo cha kumpitisha Makamba, Migiro na Amina ni dharau kubwa sana kwao, mtu kama Makamba hata uwaziri kamili hajawahi kuushika leo anatinga tano bora na Pinda Waziri Mkuu wa Nchi anaishia kwenye kamati ya maadili,nini tufikirie......kwamba hana maadili mazuri,yeye na hao niliowataja?
Sikatai kusikia CCM inapasuka.........
 
Tatizo viongozi wake wanadhani kupasuka ni kuhama kwa viongozi wake mashuhuri.
Kukatwa kwa lowassa kunaonesha jinsi watu wametengeza chuki baina ya makundi.
CCM wategemee adhabu ya kura za hasira.
Na kura za hasira ni mbaya sana
 
Ni dhahiri sasa kuwa kitendo cha madiwani wote wa Lowassa kuhamia chadema ina maana kuwa moshi mweupe wa ukombozi sasa umehamia chadema rasmi na kuondoka mikononi mwa 'KITENGO' ambacho hakimtaki rais kutoka kaskazini!

Hivyo, tunawasihi popote pale mlipo wafuasi wa Edward Lowassa tuungane wote kwa pamoja tukaimbe wimbo wa ukombozi ndani ya Chadema!

Mfuasi yeyote wa Lowassa atakayebaki katika chama cha kitengo sio mwenzetu, wote tumehamia rasmi chadema!
Karibuni sana tuimbe nyimbo za ukombozi, tuwaache ccm waimbe nyimbo za 'kitengo'!

Viva UKawa, viva Chadema!

From TEAM lowasa hio nimekopi na kupesti
 
Last edited by a moderator:
nilibisha waliposema CCM ni TAMBALA bovu popote huchanika kumbe ilikuwa kweli™!!!!!!!!
 
WAPO WATU NDANI YA CCM WANATAKA KUVAA VIATU VYA HAYATI MWL NYERERE KWA NGUVU NA KWA KUJIAMINI TUKUBALIANE MWL ALIKUWA NA UWEZO WA KUMPACHIKA URAIS YEYOTE AMPENDEZAE NA AKAKUBALIKA BILA MUSTAKIBALI HASI WA AINA YOYOTE , SASA WAPO WATU WANAJARIBU KUMUIGA MWALIMU NA HILI NI KOSA KUBWA SANA KWA KIPINDI HICHI ALAMA ZA NYAKATI ZITAKAPOSHINDWA KUSOMWA KISAWASAWA HALI NI LAZIMA KUGEUKA,KOSA LIMESHA FANYIKA SO WAT TO DO ? / MAGUFURI SIMPLICATE YOUR SELF KAA NA PANDE ZOTE KWA WAKATI TOFAUTI UYAWEKE SAWA BINAFSI NINAKUAMINI SANA ACHANA NA OVERCOMFIDENCE ZA AJABU ZA KINA NAPE HAKIKA WATANZANIA WAMECHUKIZWA NA KUCHOKAii
 
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa
Pole sana ndugu yangu ingawa mimi siungi mkono mauaji kwa sababu yoyote ile! Lowasa amekuwa kipenzi cha wengi sana hasa ndani ya CCM! Ndio ukweli hata katika mkutano wao mkuu waliimba mbele ya Kikete, " Nina imani na Lowasa, aa aa,aa! Lowasa kweli kweli......! Kwa sababu hao unawaita kuwa hawana akili, CCM ipo kwenye wakati mgumu. Huo ndo ukweli!!!
 
Endeleeni kuwapokea maana nadhani hamjui nini kinaendelea mmekubali kuchanganya nuru na giza sasa cha moto mtakiona!
 
Back
Top Bottom