Tusijifariji CCM inapasuka

Tusijifariji CCM inapasuka

Tatizo viongozi wake wanadhani kupasuka ni kuhama kwa viongozi wake mashuhuri.
Kukatwa kwa lowassa kunaonesha jinsi watu wametengeza chuki baina ya makundi.
CCM wategemee adhabu ya kura za hasira.

mmmmh izo kura za hasira si mlianza kusema zitapigwa kuanzia mkutano mkuu kumpa ushindi amina salum ama asha rose?! hii game atapigwa supa mtu hakuna kuingia kingi kubabake
 
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa

Huna akili mwenyewe shenzytype
 
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa

Mkuu Nkobe rekebisha kauri zako kwani baadae utagundua kuwa wewe hauana hekima!
1. Kama ni kuangalai makosa ya EL basi huwezi kuwaacha wengine ndani ya Chama chao. Nakufanya hivyo wewe utakuwa na chuki ya binafsi na bwana EL

2. Ni nani msafi ndani ya chama chenu? Hata viongozi wakuu wengine ambao hawapo tena kwenye madaraka walifanya maajabu mpaka mtu unauzo benki kwa bei ya chee! angalia mgodi wa KIWILA nk
3. Haiwezekani EL kutoswa peke yake kwani nani alikuwa na madaraka juu ya EL? Nafikiri unajua mwenyewe!

4. Si siri kuwa hata wengine walioko madarakani waliingia kwa mtandao wa kifedha.

Ogapa Muumba wako ili siku za kuishi hapa duniani ziwe nyingi. Mwenyezi Mungu alishapanga nani kti yako na EL atatangulia hivyo kumtakia kifo haitakusadia.
 
KOMBOA TANZANIA
NA LOWASSA!
MUNGU MBELE!
Watanzania tukatae magoli ya mikono ya wahuni na wabakaji wa haki na Demokrasia Tanzania.
Tanzania ni yetu sote! ✌
 
Ni dhahiri sasa kuwa kitendo cha madiwani wote wa Lowassa kuhamia chadema ina maana kuwa moshi mweupe wa ukombozi sasa umehamia chadema rasmi na kuondoka mikononi mwa 'KITENGO' ambacho hakimtaki rais kutoka kaskazini!

Hivyo, tunawasihi popote pale mlipo wafuasi wa Edward Lowassa tuungane wote kwa pamoja tukaimbe wimbo wa ukombozi ndani ya Chadema!

Mfuasi yeyote wa Lowassa atakayebaki katika chama cha kitengo sio mwenzetu, wote tumehamia rasmi chadema!
Karibuni sana tuimbe nyimbo za ukombozi, tuwaache ccm waimbe nyimbo za 'kitengo'!

Viva UKawa, viva Chadema!


From TEAM lowasa hio nimekopi na kupesti

Leo nimepima na kujikuta kilo zimeogezeka tangu wamkate Lowassa kilo zangu zilipungua sana.
 
Last edited by a moderator:
Na hapa kauli ya Mwana wa Mflme ndio inazidi kutia chumvi kwenye kidonda, rais hatoki kaskazini na aliyofanyiwa Lowasa ni wazi mambo yalipangwa tangu kitambo........CCM imejitafutia matatizo kwa kuingiza mambo ya familia kwenye taasisi, ninaamini hata Pinda, Wassira, Sitta na jaji ni watu wanaougulia maumivu ndani ya mioyo yao ni vile hawana la kufanya, kitendo cha kumpitisha Makamba, Migiro na Amina ni dharau kubwa sana kwao, mtu kama Makamba hata uwaziri kamili hajawahi kuushika leo anatinga tano bora na Pinda Waziri Mkuu wa Nchi anaishia kwenye kamati ya maadili,nini tufikirie......kwamba hana maadili mazuri,yeye na hao niliowataja?
Sikatai kusikia CCM inapasuka.........

Mkuu umenena!!
 
Na kwa taarifa yenu, slogan ya CHADEMA ya "PEOPLES POWER", waliipatia sana maana sasa inaenda timika. "KITENGO" ninawaonya wasije jaribu hata siku moja kutumia kitengo chao kuzuia nguvu ya Umma, wataona cha mtema kuni, waache watu waamua mstakabali. Nafurahi kweli kweli na nililiona wazi laja.

Na ukweli niliwahi tabiri CCM wamefika sasa pabaya. Lowassa angeshinda ingekuwa tabu hivi hivi, wamemwacha wakidhani wameweza wadanganya watanzania ndi niliona ingekuwa tabu zaidi maana walitunza na kudekeza haya wao wenyewe. It is almost getting out of control.
 
Kwa hali jinsi inavyoendelea ni dhahiri kabisa ccm inakwenda kupasuka ata kama sio yote lakini asilimia fulani itaathirika.Nayakumbuka maneno ya Mzee Kingunge juzi alipoongea kwamba ili CCM ishinde yanaitajika maridhiano pia kwa kiasi kikubwa inahitajika Lowasa ashirikishwe katika mchakato wa kampeni za Magufuli.Hakika nawaambia maneno yale ya Kingunge ni busara na ya muhimu sana japo wako watu wanayakejeli.Na kwa tetesi zilizopo Ngorongoro,Singida,Kigoma na Tanga wako mbioni kufanya kama walivyofanya leo Monduli.Dhambi nyingine wanayoifanya CCM ni kutaka kuwakata watu wote wanaowania Ubunge na Udiwani ambao walimsapoti Lowasa.Hili nmelisikia mwenyewe kwa mtu mkubwa kabisa akiwaambia vijana mkakati huo uliopangwa.Kwa hakika CCM sasa iko vipande vipande tusifarijiane na kujipa moyo ukweli ndio huo.
Unafanya kazi ya hasara kweli..ZZK mwenyewe kaangukiwa na bahati mbaya sana kazaliwa mtoto mwingine ...maridhiano yapi tena.CCM haiwezi mto magufuli na lowasa hayupo tayari tena kuchukua cheo kingine zaidi ya kugombea urais.Yote ni impossible....CDM sasa hivi wanatoa dose kwa masaa ccm itakuwa busy to death.
 
dalili mbaya sana kwa ccm ikitokea gazeti lolote kuandika mada hii itawachanganya sana wana ccm yaani January Makamba kuonekana bora kuliko Pinda,Mwandosa,Wasira,Sumae,Nchemba,Sita,Bilali
 
Na hapa kauli ya Mwana wa Mflme ndio inazidi kutia chumvi kwenye kidonda, rais hatoki kaskazini na aliyofanyiwa Lowasa ni wazi mambo yalipangwa tangu kitambo........CCM imejitafutia matatizo kwa kuingiza mambo ya familia kwenye taasisi, ninaamini hata Pinda, Wassira, Sitta na jaji ni watu wanaougulia maumivu ndani ya mioyo yao ni vile hawana la kufanya, kitendo cha kumpitisha Makamba, Migiro na Amina ni dharau kubwa sana kwao, mtu kama Makamba hata uwaziri kamili hajawahi kuushika leo anatinga tano bora na Pinda Waziri Mkuu wa Nchi anaishia kwenye kamati ya maadili,nini tufikirie......kwamba hana maadili mazuri,yeye na hao niliowataja?Sikatai kusikia CCM inapasuka.........
Kweli CCM wapuuzi ...YAANI WAMELAZIMISHA HADI KWENDA WACHOKONOA WAMASAIA MACHONI KUWAKUMBUSHA KWAMBA KASKAZINI HAITAKIWI?Hata masaia wa msoga wanaipiga chini CCM.
 
Mkuu Elli hakuna kitengo chochote mkuu ni wahuni tu hawa huja na maneno yao ili kuwazuga Watanzania. Mwaka 2005 walikuja na neno mtandao mwaka huu wamekuja na uongo mwingine eti Kitengo. Hakuna kitengo wala mama yake kitengo ni genge la wahuni tu, wezi, mafisadi na wapokea rushwa eti wanamkata Lowassa kwa sababu si msafi halafu wanampitisha Magufuli! Ni sawa na kuruka mkojo na kwenda kukanyaga kinyesi tena kibichi.

Ni dhahiri sasa kuwa kitendo cha madiwani wote wa Lowassa kuhamia chadema ina maana kuwa moshi mweupe wa ukombozi sasa umehamia chadema rasmi na kuondoka mikononi mwa 'KITENGO' ambacho hakimtaki rais kutoka kaskazini!

Hivyo, tunawasihi popote pale mlipo wafuasi wa Edward Lowassa tuungane wote kwa pamoja tukaimbe wimbo wa ukombozi ndani ya Chadema!

Mfuasi yeyote wa Lowassa atakayebaki katika chama cha kitengo sio mwenzetu, wote tumehamia rasmi chadema!
Karibuni sana tuimbe nyimbo za ukombozi, tuwaache ccm waimbe nyimbo za 'kitengo'!

Viva UKawa, viva Chadema!


From TEAM lowasa hio nimekopi na kupesti
 
Last edited by a moderator:
hapa wakitaka jenga ccm mpya ni kuondoa lowassa kwenye ramani ya siasa ya chama cha mapinduzi.
nawots wanaomfuata/wafuasi wake. kama ananguvu aondoke na nguvu zake.
ila na upinzani wasimpokee kwanihuyu mfanyabiashara anataka akauze madawa ikulu, anawatisha watu ahame thu aende anakojua, atapokelewa na watu wake wamfuate,
 
Back
Top Bottom