Tusijifariji CCM inapasuka

Tusijifariji CCM inapasuka

mziki ndani ya ccm ni pale walipoamua kujielekeza wazi mbele ya wananchi kwamba,January Makamba ni kiongozi bora kuliko hao niliowataja, hili kwa sisi kina gogo la shamba tunaliona ni baya zaidi walilolifanya ccm kuliko kumkata Lowasa
 
Watu kama Nape wanasaidia sana kuufanya mpasuko huo kufanikiwa. Akiwa na Magufuli jijini Mwanza kasikika akiwaambia waliokuwepo kuwa mtu yeyote atakayeendelea kukilaumu chama hadharani wakiwemo wazee wanaowaheshimu (nadhani hapa alikuwa anamaanisha Kingunge) watashughulikiwa.
Sasa kama kila atakaye laumu ukiukaji wa kanuni anashughulikiwa sii ndio watakapoamua kujiondoa kama wafanyavyo sasa?

Mkuu halafu wanajitamba kwamba chama chao demokrasia imetamalaki kwa kauli hii ya vuvuzela wao kweli kuna demokrasia?
 
Waendelee tu kupasuka lakini mimi nachotaka Lowassa abakie huko huko CCM.
 
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa

Ngobhe wewe ni mjinga na mbaguzi wa kikabila sijui kwenu Rwanda au Sudan kusini! Acha ubaguzi wakijinga wa kuwabagua wamasai ambao siku zote wamekuwa watu waliyopenda mambo ya kunyooka na siyo unafiki unaoendekezwa wa kiswahili.
 
Me napenda ccm ipasuke ili tubalance nature, saiz nature ya siasa haiko balance imebase kwenye chama kimoja. Ikipasuka tu has mbona tutakuwa kama USA
 
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa

Hivi ni yy peke yake kwny huo ufisadi?.
 
Kwa hali jinsi inavyoendelea ni dhahiri kabisa ccm inakwenda kupasuka ata kama sio yote lakini asilimia fulani itaathirika.

Nayakumbuka maneno ya Mzee Kingunge juzi alipoongea kwamba ili CCM ishinde yanaitajika maridhiano pia kwa kiasi kikubwa inahitajika Lowasa ashirikishwe katika mchakato wa kampeni za Magufuli.

Hakika nawaambia maneno yale ya Kingunge ni busara na ya muhimu sana japo wako watu wanayakejeli.
Na kwa tetesi zilizopo Ngorongoro,Singida,Kigoma na Tanga wako mbioni kufanya kama walivyofanya leo Monduli.

Dhambi nyingine wanayoifanya CCM ni kutaka kuwakata watu wote wanaowania Ubunge na Udiwani ambao walimsapoti Lowasa.
Hili nmelisikia mwenyewe kwa mtu mkubwa kabisa akiwaambia vijana mkakati huo uliopangwa.

Kwa hakika CCM sasa iko vipande vipande tusifarijiane na kujipa moyo ukweli ndio huo.

Mkuu, ukishaona chama,shirika au taasisi baba ni kiongozi,mama ni mjumbe na mtoto au watoto ni wajumbe ujue hamna kitu hapo.Watasambaratika tu.Dhambi kubwa inayoigharimu ccm ni uongozi wa bata. Mbaya zaidi kauli ya kibaguzi ya wapambe wa riz1 na jakaya kwamba rais hatatoka kaskazini hakika itawatafuna hadi wataisha wote.
 
"Bandu bandu humaliza gogo". Siasa za kimafia na ubabe hazina nafasi ktk tanzania ya leo. Waache tuu iendeleee kumeguka
 
Wacha ipasuke msamba kabisa maana tumechoka sasa
 
Back
Top Bottom