LUSELL
New Member
- Mar 6, 2012
- 1
- 0
Hivi inakuaje pale mtu anamuaribia mwenzie kazi tena mtu ambae ana familia yake ambayo inaangaria kilekile kidogo mtu huyo anachokipata!Sasa kuna jamaa yeye zake ni kuaribu tu riziki za wenzake akati yeye ni mgeni katika kazi hizo na hajui hata anao waharibia wametoka wapi na hiyo kampuni!ni dhambi kubwa kumuaribia mtu mwengine riziki tena pasipo sababu ya msingi!!!