tushirikishane ndoto zetu za usiku...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
Basi bana...mimi si jana usiku nikaota eti nimekua jogoo, e bana mitetea ilinikoma,niliikimbiza...wakati nataka tu kuumpanda mmoja, nikashtuka...kumbe ilikua asubuhi natakiwa kuamka...imeniuma!nimenuna hadi sasa.

KARIBUNI.
 
nimeokotota mihela mingije sasa ile naendelea kuzidi kuzikusanya zaidi nikashtuka nimelikumbatiaje shuka sasa khaa!
 
  1. nimeokotota mihela mingije sasa ile naendelea kuzidi kuzikusanya zaidi nikashtuka nimelikumbatiaje shuka sasa khaa!
haha...afu izo zinakujaga ukiwa huna hata single penny
 
Teh nimekua ndoto nyevu ni kwa wanaobalehe mi naota km za kiutu uzima tu
nashangaa kukuona hapa unachangia hii thread..maana jana nimeota umevamiwa na majambazi wakakupa option mbili...sa naona ulifanya uchaguzi mzuri...maana ungechagua hilo zoezi lingine usingekua hai.
 
nashangaa kukuona hapa unachangia hii thread..maana jana nimeota umevamiwa na majambazi wakakupa option mbili...sa naona ulifanya uchaguzi mzuri...maana ungechagua hilo zoezi lingine usingekua hai.

Teh BAGAH we kazana kuota utashangaa unaota umehamia Uingereza kwa Cameroon ooh
 
Last edited by a moderator:
Aah! mi nimeota nimetekwa vitani nikatoroka,kufika getini nakutana na mlinzi bonge la baunsa akanikamata katika kupambana nae nikamng'ata shavuni kustuka pembe nzima ya pillow iko mdomoni
 
Aah! mi nimeota nimetekwa vitani nikatoroka,kufika getini nakutana na mlinzi bonge la baunsa akanikamata katika kupambana nae nikamng'ata shavuni kustuka pembe nzima ya pillow iko mdomoni

iyo tabia ya kung'ata unanikumbusha kabila fulani ndio zao hizo wakigombana.
 
..dah...jana nilikua TUNGI sana...sikuota kabisa...ngoja nilale mchana..nikiota tu nashtuka kuja kuhadithia..
 
nimeota niko mbiguni dada kuna milango ya dahabu hakuna shida wala njaa yaani ni pazuri ww ukiota utapaona palivyo.
 
Mukubwa mi nashkuru nilipatiwa miziziology na Nyanya yangu ya kufukuza ndoto!
Hence siotagi !
Reason ya kuifanya dawa ya kufukuza ndoto ni pale mshkaji wangu mmoja aliponistorisha kua aliwahi ota yuko mtumbwini anasafiri.
Suddenly mtumbwi ukatoboka! na kuanza kuingiza mma mtumbwini, tundu lenyewe lilikua size ya kidole cha kati mkononi, si ndo akaona azibe tundu kwa kidole, na ndo kustuka KAJISUNDA full-dole hadi alipokomea fundi.
Poleni muatao.
 
duh, me leo nimeota boss kaja ofcn basi kakuta tunafanye renovation ikabidi nikimbilie ufagio kuanza kufagia michanga, ile kufagia kumbe kuna bonge la shimo... niliogoa nkajua kuwa kibarua ndo kinaota nyasi... nikastuka kumbe muda wa kuamka ndo umefika lol!
 
nimeota niko mbiguni dada kuna milango ya dahabu hakuna shida wala njaa yaani ni pazuri ww ukiota utapaona palivyo.

Hongera!
Ndoto za kiivi hua zinakuja kibluutoth!
Kama kichwani hauna blutus huoti mambo ya peponi , ni za matoni tu.
 
Back
Top Bottom