tushirikishane ndoto zetu za usiku...

tushirikishane ndoto zetu za usiku...

Hongera!
Ndoto za kiivi hua zinakuja kibluutoth!
Kama kichwani hauna blutus huoti mambo ya peponi , ni za matoni tu.

bluutoth iz ipo memorikadi iz ipo eaphoni iz ipo endi netiweki iz available niko mbiguni mwenzio kwani we vp J we kimotomoto au kipeponi poni?tell me
 
Mi nimekuwa naota nateka maji kama mwezi ivi so sijui kuna mafuriko yanakuja
 
Kuna mshkaji aliota anataga...guess what happened?...
 
bluutoth iz ipo memorikadi iz ipo eaphoni iz ipo endi netiweki iz available niko mbiguni mwenzio kwani we vp J we kimotomoto au kipeponi poni?tell me

Mie siotagi kirahisi, na ikitokea nimeota basi naotaga kitu muhimu sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom