wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,173
- 1,127
Streamin hii Barclays premiere league unapataIko poa ila channel nyingi hazipatikani
Streamin hii Barclays premiere league unapataIko poa ila channel nyingi hazipatikani
Asante mkuu,binafsi nilishafanikiwa ila nitajaribu hii ya kutumia namba nne.kama hamjafanikiwa tumieni link hii hapa unaweza tumia hata whatsapp nne
kama hamjafanikiwa tumieni link hii hapa unaweza tumia hata whatsapp nne kwa simu moja
http://www.abo2sadam.com/WhatsApp/DownloadFile/WA2.Abo2Sadam-V4.57-OldFace.html
Mkuu nataka nijue jinsi ya kuona nimeseviwa vip kwa hyo app maana nimeshafownloadjina la Application : TRUECALLER
Kazi yake: ni kama phone book yaani namba ya mtu wowote itakupa jina lake au pia hata namba yako unaweza kuiona watu wamekuandikaje ktk simu zao....mara unakuta unaitwa mkombozi!
inapatikana playstore
Mkuu mimi simu yangu nime root lakini nikidownload kwa blackmart inataka update toka playstore nikiappdate haikubali msaada please.Nenda google search andika download blackmart app store app store hiyo utaweza kudownload app zote zinazouzwa play store bure full version hasante
Mkuu mimi nina shida ya kuchakachua app zinazolipiwa play store nifanyaje?Ingia hapq hii app ni suluhu ya tatizo lako
Calls Blacklist - Call Blocker - Android Apps on Google Play
Mkuu mimi simu yangu nimeroot kwa kingroot (galaxy s4) nawezaje kusave battery life ya simu yanguNenda playstore download root cheker angalia kama simu ipo rooted ikikwambia bado root upya
Je simu yako ni aina gani na ni MTK AU
Hapo sijajua mkuu mm niliupdate kwenda marshmallow charge inakaa siku nzima na Data zipo on kama! Sina wasi wasi nikiwa safarini kwa application nyingine ya kutunza chaji sijaijuaMkuu mimi simu yangu nimeroot kwa kingroot (galaxy s4) nawezaje kusave battery life ya simu yangu
Nawezaje ku update mkuu kwa simu yangu niliyo root?Hapo sijajua mkuu mm niliupdate kwenda marshmallow charge inakaa siku nzima na Data zipo on kama! Sina wasi wasi nikiwa safarini kwa application nyingine ya kutunza chaji sijaijua
Hivi ni hata ikiwa anayekupigia hatumii hiyo true callMkuu nataka nijue jinsi ya kuona nimeseviwa vip kwa hyo app maana nimeshafownload
NdioHivi ni hata ikiwa anayekupigia hatumii hiyo true call
hii haifanyi kazi tena tokea january wameiblock (upande wa whatsapp)jina la application : voxox
kazi yake: inakupa namba ya marekani na unaweza kuitumia katika whatsap,viber,imo nk.
inapatikana playstore
Poa mkuuNdio
Jaribu kuifuta hiyo alafu download nyingine hata mie imewai nitokea hivyo nikatafuta version nyingine Google play search huko huko tafuta latest version utafanikiwaMkuu mimi simu yangu nime root lakini nikidownload kwa blackmart inataka update toka playstore nikiappdate haikubali msaada please.
AsantehJaribu kuifuta hiyo alafu download nyingine hata mie imewai nitokea hivyo nikatafuta version nyingine Google play search huko huko tafuta latest version utafanikiwa
Duuh.. mkoloni huyo.. sasa MB ununue alaf AApp ununue pia??Sijakushutumu wala kukukejeli, ww mwenywe umesema hiyo app unadownload app zinazouzwa bila kulipia, kama si wizi huo ni nini???. Nyanya inauzwa dukani halafu ww uende ukachukue bila kulipa hela bila taarifa kwa mwenye duka huo sio wizi???. Hakika nafsi yako inajua unayoyatenda ikiwa ni ya haki au laa. Mastercard na visacard zipo kwaajili ya electronic payment system sio kwaajili ya kutolea fedha kwenye atm. No excuse
STAREHE GHARAMA!!Duuh.. mkoloni huyo.. sasa MB ununue alaf AApp ununue pia??
...lipia.Samahani sana wana jf poweramp nikidownload full version inaniambia sijalipia nifanyeje pia hiyo poweramp naitoa blackmart
Download Lucy patchaSamahani sana wana jf poweramp nikidownload full version inaniambia sijalipia nifanyeje pia hiyo poweramp naitoa blackmart