Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

jina la Application : TRUECALLER
Kazi yake: ni kama phone book yaani namba ya mtu wowote itakupa jina lake au pia hata namba yako unaweza kuiona watu wamekuandikaje ktk simu zao....mara unakuta unaitwa mkombozi!
inapatikana playstore
Mkuu nataka nijue jinsi ya kuona nimeseviwa vip kwa hyo app maana nimeshafownload
 
Nenda google search andika download blackmart app store app store hiyo utaweza kudownload app zote zinazouzwa play store bure full version hasante
Mkuu mimi simu yangu nime root lakini nikidownload kwa blackmart inataka update toka playstore nikiappdate haikubali msaada please.
 
Nenda playstore download root cheker angalia kama simu ipo rooted ikikwambia bado root upya

Je simu yako ni aina gani na ni MTK AU
Mkuu mimi simu yangu nimeroot kwa kingroot (galaxy s4) nawezaje kusave battery life ya simu yangu
 
Hapo sijajua mkuu mm niliupdate kwenda marshmallow charge inakaa siku nzima na Data zipo on kama! Sina wasi wasi nikiwa safarini kwa application nyingine ya kutunza chaji sijaijua
Nawezaje ku update mkuu kwa simu yangu niliyo root?
 
Mkuu mimi simu yangu nime root lakini nikidownload kwa blackmart inataka update toka playstore nikiappdate haikubali msaada please.
Jaribu kuifuta hiyo alafu download nyingine hata mie imewai nitokea hivyo nikatafuta version nyingine Google play search huko huko tafuta latest version utafanikiwa
 
Sijakushutumu wala kukukejeli, ww mwenywe umesema hiyo app unadownload app zinazouzwa bila kulipia, kama si wizi huo ni nini???. Nyanya inauzwa dukani halafu ww uende ukachukue bila kulipa hela bila taarifa kwa mwenye duka huo sio wizi???. Hakika nafsi yako inajua unayoyatenda ikiwa ni ya haki au laa. Mastercard na visacard zipo kwaajili ya electronic payment system sio kwaajili ya kutolea fedha kwenye atm. No excuse
Duuh.. mkoloni huyo.. sasa MB ununue alaf AApp ununue pia??
 
Samahani sana wana jf poweramp nikidownload full version inaniambia sijalipia nifanyeje pia hiyo poweramp naitoa blackmart
 
Samahani sana wana jf poweramp nikidownload full version inaniambia sijalipia nifanyeje pia hiyo poweramp naitoa blackmart
Download Lucy patcha
Then uta i patch
Utatengeneza patched apk Isiyo na haja ya kulipia
au download data ambazo ni free kutoka kweny torrent then u download apk kutoka blackmart
 
Back
Top Bottom