Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Kama kuna mtu atakupigia namba ngeni itaonyesha jina kama amesajili,yangu inaonyesha mpaka location ya mpigaji alipo.......wengi wameumbuka na hawajawahi kunielewa wananihisi vitu vingi kumbe mi mtanganyika wa kawaida tu ๐๐๐Wakubwa hii app ya true call inasaidia nini kwenye simu?
Chief-Mkwawa