Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android


Senator jr

Senator jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Messages
344
Points
500
Senator jr

Senator jr

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2016
344 500
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============

Kwa upande wa Launcher, Arrow Launcher ni habari nyingine, imerahisisha v2 vingi tunavyotumia katika zimu zetu. Ipo Playstor na product ya microsoft, pia wana screen lock nzuri sana ya Next Lock na Pictute Lock.
Kwa upande wa music na video downloafing, Viderder inamaliza shida zangu NB music ni ule ulio ktk vidwo maana huwa inaconvert jaipatikana PStore.
Upande wa webb Uc Browser anamapiza shida zangu.
Kwa kesi za ulinzi na low space natumia mobilego.
Kwa upande wakubadirishana mafile na applocation, Xender inamaliza.
Kuepuka kubofya button ya power natumia quicky reboot.
Situmii built in ya contact wala msg hapo natumia Ziro sms na True phone kwa contact.
Na nyingine nyingi za kijanja nazipata humu hum jf kwenye nyuzi mbalimbali tuwe pamoja
 
MGuccI

MGuccI

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Messages
1,255
Points
1,500
MGuccI

MGuccI

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2014
1,255 1,500
Mobodro inahuska na nn mkuu
MOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..

Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.

Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.

Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
 
Senator jr

Senator jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Messages
344
Points
500
Senator jr

Senator jr

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2016
344 500
MOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..

Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.

Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.

Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
Maelezo yako funga kaz kaka tuekee link nyingine za best app kaka
 
AROON

AROON

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,308
Points
2,000
Age
26
AROON

AROON

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,308 2,000
Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..
Unatimia internet ya mtandao gani ...maana mm INA gomagoma
 
Charles kikoti

Charles kikoti

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
459
Points
225
Charles kikoti

Charles kikoti

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
459 225
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
 

Forum statistics

Threads 1,284,537
Members 494,169
Posts 30,830,983
Top