Tushee maujanja ya gbwhatsapp

Aya mavitu ndio yanaleta udukuzi kwenye izi smartfn unadld inakuleta mambo ya fb bila hata wewe kujijua mwisho wasiku unambii wewe jf siunatumiaga ID flani unabaki kutoa macho kama FUNDI SAA vile
 
Mbona me inachelewa sana kufungua message ambazo zimetumwa.
 
Nimeenda mpk pale but cjaona sehemu ya kuchange icon
Ukiingia kwenye gbsetting chagua namba 6 other mods ingia hapo utaona ya kwanza kabisa kuchange icon chagua rangi unayotaka
 
nishakua mtaalam sasa hii kitu iko poa
Unaweza uka edit chochote kile man, iko poa mno, pia unaweza ukaweka password kwa mtu flani tu hata wife akitaka asome hawez, atasoma za watu wengine tu
 
Hii gb whatsapp ni kali tatizo lake ni mojaaa tuuu kuchelewa kupata notfication.... Yan kuoata notification zako hadii uifunguee... Wakat ile whatsapp ya kawaida ukiwasha data tuuu notification zinaingiaaa... Hapo ndipowalpofel lakin kwingine wako poa cz unaitumia vike unavyopenda upande wa themes hadi icon colour
 
Sio kweli,
Kuhusu notifikation kuna sehemu kwenye settings,
Unaweka tiki kwenye online when screen is off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…