Tushee maujanja ya gbwhatsapp

nimejarbu as nimeweza wakuu yaan hii ni noumaaaa now gbwasap ndio chai yang chakula mchana ucku juice soda maji yangu kamwe ctokaa niaxhe jamii forums mpaka kufa kwangu nimwkula kiapo OVAAAA
 
Sio yenyewe mm nimeifuta sms unatumia haziingii kwa wakati na ulituma haziend kwa wakati
 
nimejarbu as nimeweza wakuu yaan hii ni noumaaaa now gbwasap ndio chai yang chakula mchana ucku juice soda maji yangu kamwe ctokaa niaxhe jamii forums mpaka kufa kwangu nimwkula kiapo OVAAAA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hongera mkuu
 
Unaeza lock certain chat Mtu asione chatting yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…