Tushauriane vifurushi bomba vya internet

Tushauriane vifurushi bomba vya internet

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
Hello guys, Uhitaji wa internet unazidi kuwa mkubwa kadri siku zinavyosonga mbele, Kumekuwa na changamoto hivi karibuni ya kupata vifurushi vinavyokidhi thamani ya pesa (gharama nzuri + ubora wa spidi + uwepo wa internet bila kukatakata au kupungua spidi na kushuka).


Kwa sasa nawatumia halotel kifurushi cha GB 13 kwa wiki (Sawa na gb 1.8 kila siku) kwa 15,000/=, spidi wako poa sana + bei ipo realistic + hakunaga kukata kata interenet ama spidi kupungua.

Mbadala wangu ni ttcl uni offer kwa line niliyojisajili enzi nipo chuo, napewa mb 600 kwa masaa 24 kwa kulipia 500/=, spidi ipo njema 4g + internet ipo stable hakunaga kupungua spedd ama net kukatakata ila tu changamoto ni kwamba huu mtandao una maeneo yake.

Nimeacha kuwatumia vodacom kwasababu hakuna spidi(mkoani) na bei za vifurushi zimepanda.

TUJUZANE: JE WEWE UNATUMIA KIFURUSHI GANI
 
Miezi kadhaa nyuma Voda walikuwa na kifurushi cha 5GB kwa tsh 2,000 kwa mwezi, lakini hivi karibuni wamepandisha bei hadi tsh 2,500 unapewa 2gb kwa wiki tu afu bado speed ya kobe.

Natafuta mbadala
 
Tigo wezi lkn wana uni offer ya 1500 kwa wiki wanatoa mb 500
 
Maisha yanatofautiana ,,Mara nyingi naingia JF kupitia freebasics lakini kuna mtu pia anajiunga kifurushi cha internet tu cha 15'000 kwa wiki bado cha dakika na SMS ,


Vyuma vimelegea aise
 
Siyo 2500 mkuu ni 3000 vod wanazingua vbaya
Miezi kadhaa nyuma Voda walikuwa na kifurushi cha 5GB kwa tsh 2,000 kwa mwezi, lakini hivi karibuni wamepandisha bei hadi tsh 2,500 unapewa 2gb kwa wiki tu afu bado speed ya kobe.

Natafuta mbadala
 
Back
Top Bottom