Tushauriane vifurushi bomba vya internet

Hello guys, Uhitaji wa internet unazidi kuwa mkubwa kadri siku zinavyosonga mbele, Kumekuwa na changamoto hivi karibuni ya kupata vifurushi vinavyokidhi thamani ya pesa (gharama nzuri + ubora wa spidi + uwepo wa internet bila kukatakata au kupungua spidi na kushuka).

Kwa sasa nawatumia halotel kifurushi cha GB 13 kwa wiki (Sawa na gb 1.8 kila siku) kwa 15,000/=, spidi wako poa sana + bei ipo realistic + hakunaga kukata kata interenet ama spidi kupungua.

Mbadala wangu ni ttcl uni offer kwa line niliyojisajili enzi nipo chuo, napewa mb 600 kwa masaa 24 kwa kulipia 500/=, spidi ipo njema 4g + internet ipo stable hakunaga kupungua spedd ama net kukatakata ila tu changamoto ni kwamba huu mtandao una maeneo yake.

Nimeacha kuwatumia vodacom kwasababu hakuna spidi(mkoani) na bei za vifurushi zimepanda.

TUJUZANE: JE WEWE UNATUMIA KIFURUSHI GANI
Mambo yote iko ttcl sh 1000 gb 4 masaa 24,sh 5000 gb 8 wiki chagua bandika bandua
 
Satellite internet inakuaje .??? Fafanua.
Sasa afafanuwe vipi? Wewe hujui satelite?

Tanzania ipo kampuni inaitwa Thuraya wapo Samora avenue opp na JM Mall inatowa huduma ya satelite phone malipo ni kwa dola, popote ulipo unatumia simu na internet hizi hazitumii minara zinatumia satelite.

Watalii wengi wakija kwenda mbugani hakuna mawasiliano wanazitegemea hizi satelite phone hazinaga mambo ya sijui network imejamba sijui signal weak, that is meaning of Satelite.
 
Sawa mkuu subiri Ni wagoogle ili niwafaham vizur
 
Tigo unapata 2GB kwa buku.
Unapata MB 550 na dakika 65 kwa jero
Unapata 1.2GB na dakika 215 wiki nzima kwa buku jero.
Unapata 2.5GB na dakika 268 kwa wiki kwa buku mbili jero
Unapata GB 10 na dakika 1,070 kwa mwezu kwa 10,000 tu

Na ukiwa na 4G spid yake ni ya bombadia.

Nikichogundua kuna watu humu wanatumia line zao za tigo kupikia chai tu hawajui jinsi ya kuunga vifurushi vizuri.
Tupe menu ya kuunga
 
Umetuacha njia panda mkuu, Tupe maelekezo ya kuunga
 
Back
Top Bottom