Icho ni cha magendo mkuu... bei ni wewe unavo kubaliana na anae kuungia
NgojaNiunganishe nao basi
Cha gb 30 una miezi mi 3 kila mwez una ingiziwa gb 10.... cha miezi 6 gb 60 kila mwez gb 10Hizi Gb's unazitumia ndani ya muda gani please
Ukimuunga na mimi nitag.Ngoja
*148*30# chagua 5 ttcl bando ok chagua 4 bandika bandua,hapo jimwage mnyewe mnyeweHio offer ni mpya kwangu, Unaungaje hizo GB 4 kwa buku
🙂🙂🙂Nimekiona mkuum tatizo unapewa mb hizi gb 4 zipo limited kuendana na muda*148*30# chagua 5 ttcl bando ok chagua 4 bandika bandua,hapo jimwage mnyewe mnyewe
Hizo 2gb menu yake ndo ipiMiezi kadhaa nyuma Voda walikuwa na kifurushi cha 5GB kwa tsh 2,000 kwa mwezi, lakini hivi karibuni wamepandisha bei hadi tsh 2,500 unapewa 2gb kwa wiki tu afu bado speed ya kobe.
Natafuta mbadala
0672524256 njoo whatsappNiunganishe nao basi
Cha gb 30 una miezi mi 3 kila mwez una ingiziwa gb 10.... cha miezi 6 gb 60 kila mwez gb 10
Cha gb 30 una miezi mi 3 kila mwez una ingiziwa gb 10.... cha miezi 6 gb 60 kila mwez gb 10
Njoo pm mkuukinapatikana kwa pesa ngapi mkuu
Hawa watu ni waizi wakubwa sana ,,cjui kwa nn wasipgwe marufuku nchinTigo ni wezi wa kutupwa!
Pm tenaNjoo pm mkuu

Ndio mkuuPm tena![]()
Wenzako wanaotumia line za chuo unawaona vichaa?Dah Airtel ndio wezi ile mbaya. Nimelipa 500 kununua yatosha internet bando ya saa 24 (siku) badala ya kupata 500MB kama walivyoeleza, nikashangaa kuona napewa hongera nimepata 150MB kwa Muda wa siku 1. Huu ni wizi mtupu.
Hivi unaezaje kutizama kama simu yako inakubali 4g
Sasa si bora uende halotel kwa hiyo uliyoonesha 500 mb350 plus 150mb only in you tube 1weekTigo wezi lkn wana uni offer ya 1500 kwa wiki wanatoa mb 500
TECNO L8 LITEUnatumia simu ya aina gani?