Tushauriane vifurushi bomba vya internet

Mkuu unaipataje hiyo offer,nina line ya chuo ya tigo
Inategemea mahali ulipo, kwa sababu menu iko tofauti.
*148*00#, chagua namba 1 (Ofa maalum), bonyeza OK. Nenda namba 2, University Ofa.
*147*00#, chagua namba 1 (ofa chapchap), bonyeza OK. Nenda namba 1, 1500 dkk 215 na 1.2 GB kwa wiki.

Jaribu ulete majibu
 
Tigo unapata 2GB kwa buku.
Unapata MB 550 na dakika 65 kwa jero
Unapata 1.2GB na dakika 215 wiki nzima kwa buku jero.
Unapata 2.5GB na dakika 268 kwa wiki kwa buku mbili jero
Unapata GB 10 na dakika 1,070 kwa mwezu kwa 10,000 tu

Na ukiwa na 4G spid yake ni ya bombadia.

Nikichogundua kuna watu humu wanatumia line zao za tigo kupikia chai tu hawajui jinsi ya kuunga vifurushi vizuri.
 
Hiyo ndiyo tigo wakuu. Nimeweka na kapicha kama utamaduni wetu wanaJF
Screenshot_20181211-094744.jpeg
Screenshot_20181211-094659.jpeg
Screenshot_20181211-094722.jpeg
 
Inategemea mahali ulipo, kwa sababu menu iko tofauti.
*148*00#, chagua namba 1 (Ofa maalum), bonyeza OK. Nenda namba 2, University Ofa.
*147*00#, chagua namba 1 (ofa chapchap), bonyeza OK. Nenda namba 1, 1500 dkk 215 na 1.2 GB kwa wiki.

Jaribu ulete majibu
Naona hiyo ya *147# wananiletea gb 1 siku 7 kwa alfu moja
 
Back
Top Bottom